TheCombination
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 370
- 729
Mzee sasa hapo kwenye KURUKA UKUTA utahamisha magoli tubadil uelekeoUkiona mwanaume anakwambia hawez chepuka ata itokee nn kwa kigezo kua anajiheshimu hyo ni ana matatizo ambayo ataki yajulikane popote zaidi ya yeye na mke wake.
Kiukweli sisemi kama kujizuia hatuwezi ila uwezi niambia upo kwenye ndoa miaka 5 na hujawai kuruka ukuta labda uwe umeolewa au umetengenezwa.
Yaani we acha tu.Mbunye tamu Sana.Achana na ile kitu mkuu.
Yaani kuna hisia fulani zinazochanganyika na maswali kichwani unapomuona demu mpya.
Ukimuona bonge unajiuliza dah huyu sijui mbunye yake iko tofauti,ukimuona kimbaumbau unajiuliza huyu anaonekana mtundu sana,ukimuona mrefu kama twiga unasema dah huyu sijui mbunye yake itakuwa imekaaje,ukimuona mbilikimo kama tausi au dorah unasema dah huyu special case atakuwa mtamu kwa vyovyote.
Ukishajiuliza hayo maswali moyo unalipuka unamlia mingo kuhakikisha unamnasa
Takribani miaka kumi sasa.Una muda gani mkuu tangu umeacha?
Asikwambie mtu nyeto ni tam balaa
Imeku tachi hiyooHata kama nimepumbazwa nadhani haikuhusu
kisha fanya tathmini ya uzima wa afya za hao wanaojitapa nguvu za kiume wengiwao wanaumeme.Wana upungufu wa nguvu za kiume
Mbona unateseka sana kaka??😂😂 Tafsiri ya kutamba umeiwaza wewe na sihusiki na tafsiri yoyote kutoka kww mtu yeyote, yamkini sijawwhi kumfuma hata sms basi ninaweza kuthibitisha popote kuwa hachepuki,Ni kweli hainihusu, ila sio jambo la kutamba hadharani eti mumeo hachepuki.!
Hujawahi kuwa mwanaume ww kaaa kwa kutulia hujui raha ya kuzichakata papuchi tofauti tofauti......
Uzuri Kuna mmoja kathibitisha kuwa hata yeye humtokea hiyo kituKhaa kwa hiyo mumeo mambo yakimuendea alijojo unajua kachapa nje!!?
Uzinzi ni gharama sana, hasa wpenda pisi kali kama mimi, ni gharama mno bora kutulia kwani hakuna jipya kwenye papuchiWapo wanaume wasiochepuka ila wengi ni wenye umri kuanzia miaka 40 na kupanda hao ndo wanatosha kwenye hii mada yako, ambapo ni kwamba chini ya umri huo anakuwa amefanya uwindaji wa aina zote halali na haramu akiamua kutulia na mwanamke mmoja wengi wao hutulia kabisa, ila ndo sio wote wengine huendeleza kujitutumua mpaka uzeeni na wengi wao huzeeka kwa aibu sana.
Hakuna tuzo kwenye kubadili wanawake, watajisifia ndo uanaume lakini waliofanya hizi mambo ukiongea nao katika umri wao wa uzee wanajutia sana muda waliopoteza.
Nimepumbazwa Mimi uteseke wewe😂😂mnanionea wivu au huruma,, fanyeni shughuli zenu haiwahusu hiyoMumeo atakuwa ni big time player amejua kutwist akili yako hongera zake wapo wachache maplayer kama hao wenye vikombe......
Subiri kuitwa hanisi na huna hela😂😂😂Uzinzi ni gharama sana, hasa wpenda pisi kali kama mimi, ni gharama mno bora kutulia kwani hakuna jipya kwenye papuchi
Huu ni mtazamo hasi, hvi mnafikiri kuwa na ngivu za kiume ni sawa na chemchem?Wana upungufu wa nguvu za kiume
Ni kweli tupoWanaume wenye akili timamu wapo.
Huyo atakayeniita hanisi ahakikishe ni pisi kali na niletee niichakate then arudishe majibu hapa.Subiri kuitwa hanisi na huna hela[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera na Kila la heri
Huyo mmoja awe tayari sasa kukupa kila unapotaka! Wengine hawawezi wanazingua tu na nyodo matokeo yake lazma utafte mbadala nje ya ndoaHiyo ni imani kaka. Hujafanya kuchunguza uthibitishe kama kweli wasio chepuka wanamatatizo wote au la. Ila nafikiri wapo wasio na matatizo ila wameamua tamaa zao zote wazimalize kwa mwanamke mmoja! Ni bora kuwa mbunifu kilasiku kweny tendo ili kukidhi haja yako na kuenjoy mwanamke wako kuliko kumtaka wa nnje.. Nnje wapo wengi hutomaliza haja hiyo.
Pole Sana manake unakuwa Kama hayawanu kutwa kukimbizana na papuchi, zichakate kwa Sasa ila hakikish ukifika kwenye 40's uache maana utakuwa umefanya yote katika ujana wako,Niombee Noelia maana napenda Wanawake Mimi Acha kabisa.Yaani mashine ipo hai hai muda wote.Naweza kumshughulikia wife usiku mzima,lkn kesho yake akikatiza mdada mrembo mashine inadinda kisawasawa, natamani kuacha kabisa tabia hii lkn nashindwa.Maombi yako muhimu sana.