Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Ukiona mwanaume anakwambia hawez chepuka ata itokee nn kwa kigezo kua anajiheshimu hyo ni ana matatizo ambayo ataki yajulikane popote zaidi ya yeye na mke wake.

Kiukweli sisemi kama kujizuia hatuwezi ila uwezi niambia upo kwenye ndoa miaka 5 na hujawai kuruka ukuta labda uwe umeolewa au umetengenezwa.
Mzee sasa hapo kwenye KURUKA UKUTA utahamisha magoli tubadil uelekeo
 
Achana na ile kitu mkuu.
Yaani kuna hisia fulani zinazochanganyika na maswali kichwani unapomuona demu mpya.
Ukimuona bonge unajiuliza dah huyu sijui mbunye yake iko tofauti,ukimuona kimbaumbau unajiuliza huyu anaonekana mtundu sana,ukimuona mrefu kama twiga unasema dah huyu sijui mbunye yake itakuwa imekaaje,ukimuona mbilikimo kama tausi au dorah unasema dah huyu special case atakuwa mtamu kwa vyovyote.
Ukishajiuliza hayo maswali moyo unalipuka unamlia mingo kuhakikisha unamnasa
Yaani we acha tu.Mbunye tamu Sana.
 
Ni kweli hainihusu, ila sio jambo la kutamba hadharani eti mumeo hachepuki.!
Mbona unateseka sana kaka??😂😂 Tafsiri ya kutamba umeiwaza wewe na sihusiki na tafsiri yoyote kutoka kww mtu yeyote, yamkini sijawwhi kumfuma hata sms basi ninaweza kuthibitisha popote kuwa hachepuki,
 
Wapo wanaume wasiochepuka ila wengi ni wenye umri kuanzia miaka 40 na kupanda hao ndo wanatosha kwenye hii mada yako, ambapo ni kwamba chini ya umri huo anakuwa amefanya uwindaji wa aina zote halali na haramu akiamua kutulia na mwanamke mmoja wengi wao hutulia kabisa, ila ndo sio wote wengine huendeleza kujitutumua mpaka uzeeni na wengi wao huzeeka kwa aibu sana.

Hakuna tuzo kwenye kubadili wanawake, watajisifia ndo uanaume lakini waliofanya hizi mambo ukiongea nao katika umri wao wa uzee wanajutia sana muda waliopoteza.
Uzinzi ni gharama sana, hasa wpenda pisi kali kama mimi, ni gharama mno bora kutulia kwani hakuna jipya kwenye papuchi
 
Hiyo ni imani kaka. Hujafanya kuchunguza uthibitishe kama kweli wasio chepuka wanamatatizo wote au la. Ila nafikiri wapo wasio na matatizo ila wameamua tamaa zao zote wazimalize kwa mwanamke mmoja! Ni bora kuwa mbunifu kilasiku kweny tendo ili kukidhi haja yako na kuenjoy mwanamke wako kuliko kumtaka wa nnje.. Nnje wapo wengi hutomaliza haja hiyo.
Huyo mmoja awe tayari sasa kukupa kila unapotaka! Wengine hawawezi wanazingua tu na nyodo matokeo yake lazma utafte mbadala nje ya ndoa
 
Niombee Noelia maana napenda Wanawake Mimi Acha kabisa.Yaani mashine ipo hai hai muda wote.Naweza kumshughulikia wife usiku mzima,lkn kesho yake akikatiza mdada mrembo mashine inadinda kisawasawa, natamani kuacha kabisa tabia hii lkn nashindwa.Maombi yako muhimu sana.
Pole Sana manake unakuwa Kama hayawanu kutwa kukimbizana na papuchi, zichakate kwa Sasa ila hakikish ukifika kwenye 40's uache maana utakuwa umefanya yote katika ujana wako,

Zingatia,
~usimkere mkeo nikimaanisha asikudabe Wala kuhisi chochote,
~kama dini inaruhusu oa mke mwingine
~Matumizi sahihi ya kinga ili usipate magonjwa
~usihonge zaidi ya akiba uliyonayo
~omba Mungu asikuachanize
 
Back
Top Bottom