Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Kwa mtazamo wa harakaharaka IQ haitegemei na dini ya mtu.
Wapo wagunduzi wa dini tofauti na Hata wasio dini pia, wa rangi na makabila / mataifa tofauti. Kuanzia zamani mpaka sasa.
Hayo mengine naendelea kusoma Kwa wadau mpaka nikijiridhisha nitakuja kukupa maoni yangu.
Nota Bene; kuhusu maraisi wa Kiislamu kuwa Sunni, nafikiri inatokana na wengi kuwa kwenye mfumo na wengi Kwa % dhidi ya Madhehebu mengine (labda zamu yao haijafika).
 

Mkuu mifano yako bado hairepresent uhalisia. Selection ya sample yako haijafuata vigezo vitakavyokukusaidia kukupa ukweli angalau kuukaribia. Je, umetumia formula gani kuja na sample hiyo ya watu wane (4) in a known population yako ?

-
Pia, kuhusu udikteta, nadhani swali lako lilipaswa kuwa , je kuna uhusiano gani kati ya elimu n udikteta. Ukishakuwa intellectual , dunia unaitazama tofauti sana ukilinganisha na jamii ya kawaida. Hii ndio sababu nchi nyingi za ulaya zimeendelea, they are intellectual, na pia wapo tayari kutoa uhai wa Mtu mmoja for mass benefits or protection Kama unavyoiona USA au Russia , au China.

It is all about how you see the world and ready to step out of comfort zone. TZ ni nchi maskini sana kwa Sababu hatuna intellectuel Leaders , angalia uchumi wa nchi enzi ya Benjamin na JPM , na angalia enzi ya Mwinyi, JK na Samia .....Hali huwaga ni mbaya sana.

Samia kapewa nchi hana hata mwaka , angalia hali ya sasa..... lakini yeye anaona anajitahidi... hiyo ndiyo maana ya low IQ na High IQ
 
Usilinganishe Wana wa Mungu na wasio Wana wa Mungu, hawafanani hata kidogo
Wana wa Mungu halafu wauaji.
Watu walikufa sana Zanzibar, watu walipigwa sana mwembe chai, watu wamewekwa sana kwenye viroba wengine shaba.
Halafu unasema wana wa Mungu loh!
Si bora wafuasi wa Mood.
 
Kwanza nyie waislam hata kupewa uongozi mnapendelewa tu maana idadi yenu ni sawa na tone la maji katika bahari.
Taja miji yenye wakristu na mimi nikutajie miji yenye waislamu wengi.
Mbona huwa mnakataa kuwekwa kipengele cha dini kwenye sensa kama kweli mnajiamini ni wengi?
 
Nacheka kwa dharau, halafu nanyamaza tu yapite maana hayakuanza leo haya na hayatoisha mpaka mwisho wa dunia!
 
Hivi kwa nini Madiba aligoma kufungua jumba la Mkapa huko South?.
 
Wana wa Mungu halafu wauaji.
Watu walikufa sana Zanzibar, watu walipigwa sana mwembe chai, watu wamewekwa sana kwenye viroba wengine shaba.
Halafu unasema wana wa Mungu loh!
Si bora wafuasi wa Mood.
Kwani kwa wafuasi wa mudy hayakutokea hayo?[emoji848]
 
Eti "ya kuunga unga"[emoji1787][emoji119]
 
Jakaya Kikwete hakuunga unga

Alipasua kibaha A level, Udsm pia alifaulu ingawa yasemekana alikuwa a"disco" ila walimbeba kumaliza Bachelor Degree yake ya Uchumi pale UDSM
Sasa utasemaje tena hakuunga unga?. Wakati huo huo unasema alidisco na umesema alibebwa. Kwa ujumla wake aliunga-unga
 
Kuna baadhi ya waislamu humu jamvini huwa hawana hulka ya ugomvi kabisaaa, wao hata mtu awajibu mbovu humjibu kwa hekma na adabu mpaka alietoa shit ataona aibu na ataacha.

Wao husema ya kwamba dini yao haijawafunza kutukana wale wawatukanao na kuwapinga bali kuwaelimisha kwa hekma.

Sijui wako wapi waislamu wale, hawa wanaochangia humu sijui ni waislamu wa wapi hawa. Juzi tu wametoka kwenye mfungo leo hii ni matusi, kushushiana hadhi na utu.
Binafsi huwa napenda kujifunza kutokana na majibu yao ya hekma coz wengi huwa wameyapangilia vyema sana na facts kutoka kitabu chao kitakatifu na baadhi ya hadithi.
Ila sio hawa waislam wa mchongo wenye mihemko isiyo na tija, na hawa wahemkaji ndio wanaofanya watu wa dini nyingine waone waislam wana vurugu na kupenda vita.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yesu mbona alikufa kijana na Yesu watu humuita Mungu
 
Umesahau awamu ya pili
 
Umesahau awamu ya pili

Awamu ya pili naisamehe kwani ina mengi mazuri ilifanya mimi ni mnufaika mkubwa na wenzangu wengi tulishuhudia mengi, hivyo naisamehe kama ilikuwa na matatizo siyo kama ya awamu ya 4 na na sasa hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…