Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Wakatoliki ni madikteta wakubwa.
Ni watu wasio na ubinadamu iwapo hutaendana na sheria walizoweka
 
Marais wote wakristo wana uchungu kuliko wale waislam,so moja kwa moja unajua ikiwa na uchungu na kitu utahangaika ukifanikishe na katika kukifanikisha utakwamishwa.
Hii Ni Kweli...lakini Ni coincidence Tu iliyotokea Kuwa Maraisi wakristo ndo walikuwa Na maono kibao Na waislam wakawa laizure fair..lakini Ni Bahati Tu iliyotokea... mtu yoyote wa Dini yoyote anaweza Kuwa laizure fair au mtu visionary.
 
Huyo mkristo alietaifisha shule zote za kikristo ili waislamu mmsome ndo aliharibu nchi?
 
Hata huku mtaani wenzetu waisilam elimu dunia hawaitilii maanani
Hata ninyi kwa mwendo huu wa sasa wa kuadimika kwa ajira serikalini mtaanza kujiongeza. Mtagundua kuwa unachohitaji sana ni kumjua Mungu na maarifa kidogo ya kidunia. Ambayo hata wewe unaweza mpa mwanao akapata maendeleo na wala si lazima kushinda na Yale mavitabu ya kina Lambert, Antickson etc. Huoni hata ninyi sasa mmeshaanza kuhojiana kuhusu ubora wa hiyo elimu dunia ambayo mlikuwa mkijivunia miaka yote
 
Unaposema elimu kuunga unga na JK ukamuweka humo halafu wengine ukasema straight to University sijui ulimaanisha nini?! Maana Hata John hakwenda university direct. Alimaliza Diploma 1982 then akaenda kufundisha sekondari baadaye akajiendeleza na kupata Degree 1988 na baadaye masters na Phd
 
Wewe mayalla ni zuzu sana, kwani ujui kuwa kuna dictator mzalendo na dictator asiye mzalendo
TANZANIA TUNATAKA RAIS DICTATOR TENA DICTATOR KWELIKWELI ILA AWE MZALENDO TENA MZALENDO KWELIKWELI , tz tunapata bahati ya kuwa na viongozi wazalendo wakristo kuliko waislum ndiyo maana tunapiga hatua 5 mbele nchi ikiwa mikononi mwa mkristo na kupiga hatua 10 nyuma nchi ikiwa mikononi mwa waislamu kwa sababu marais wote waislamu tuliopata tz wanasujudia mabeberu , VIONGOZI WAISLAMU WANAZINGATIA KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHA BEBERU WAKATI VIONGOZI WAKRISTO WANAZINGATIA UZALENDO NA AKILI
 
Jakaya Kikwete hakuunga unga

Alipasua kibaha A level, Udsm pia alifaulu ingawa yasemekana alikuwa a"disco" ila walimbeba kumaliza Bachelor Degree yake ya Uchumi pale UDSM
Huyo ndiyo muasisi wa ukanjanja tz
 
Sababu ni kufanya kazi kwa uzito wake na biid kubwa, ikiwemo kuifikiria nchi muda wote namna ya kuiletea neema!
 
Jakaya Kikwete hakuunga unga

Alipasua kibaha A level, Udsm pia alifaulu ingawa yasemekana alikuwa a"disco" ila walimbeba kumaliza Bachelor Degree yake ya Uchumi pale UDSM
Hiyo ya kubebwa sio ya junior wake? Au historia ilijirudia?
 
Moto utawaka humu..wafia dini watapigania ndugu zao waarabu na wazungu.

Kimsingi hakuna uhusiano wowote katika hayo.

Umri wa kuishi na iq ni matokeo ya maisha na mazingira mtu aliyokulia..

Wachangiaji wenye mihemko jifunzeni historia kisha kasomeni kitu kinaitwa blue zone.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uzee umeshakuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…