Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Kikwete aliunga unga SHULE???

Magufuli nakumbuka ndio ALIUNGA UNGA hadi kupata degree ya kwanza
 
Kuhusu mauaji katika nchi:
1. Yalikuwepo though moderately
2. Hayakuwepo
3. Yalikuwepo mengi
4. Hayakuwepo
5. Yalikuwepo hadi yakatia fora
6. Hayapo
Pia kuhusu haki za binadamu (ukiacha haki ya kuishi iliyoelezewa hapo juu)
1. Zilizingatiwa kiasi
2. Zilizingatiwa
3. Haziku zingatiwa
4. Zilizingatiwa
5. Zilifutwa
6. Zinazingatiwa
 
Umewaza nini kufikiria haya?.Hakuna binadamu asiye na strong na weakness hilo tukubali
Hebu sasa tuanze kupanga kufuata sifa flani kwa hadidu rejea yaan terms of preference choice mimi naanza chini ya haya majina.
  1. Julius Kambarage Nyerere
  2. Ali Hassan Mwinyi
  3. Benjamin William Mkapa
  4. Jakaya Mrisho Kikwete
  5. John Pombe Magufuli
  6. Samia Suluhu Hassan
HEKIMA
1.Ali Hassan Mwinyi
2.Julius Kambarage Nyerere
3.Jakaya Mrisho Kikwete
4.Samia Suluhu Hassan
5.Benjamin Willim Mkapa
6.John Pombe Magufuli
BUSARA
1.Ali Hassan Mwinyi
2.Samia Suluh Hassan
3.Jakaya Mrisho Kikwete
4.Julius Kambarage Nyerere
5.Benjamin Willim Mkapa
6.John Pombe Magufuli
MCHAPA KAZI
1.John Pombe Magufuli
2.Benjamin William Mkapa
3.Samia Suluhu Hassan
4.Julius Kambarage Nyerere
5.Jakaya Mrisho Kikwete
6.Ali Hassan Mwinyi
MWANASIASA
1.Julius Kambarage Nyerere
2.Jakaya Mrisho Kikwete
3.Benjamin William Mkapa
4.Samia Suluhu Hassan
5.Ali Hassan Mwinyi
6.John Pombe Magufuli
MPENDA WANYONGE
1.John Pombe Magufuli
2.Julius Kambarage Nyerere
3.Benjamin William Mkapa
4.Ali Hassan Mwinyi
5.Samia Suluhu Hassan
6.Jakaya Mrisho Kikwete
MPENDA WALICHO NACHO
1.Ali Hassan Mwinyi
2.Jakaya Mrisho Kikwete
3.Samia Suluhu Hassan
4.Benjamin William Mkapa
5.John Pombe Magufuli
6.Julius Kambarage Nyerere
DIKTETA
1.John Pombe Magufuli
2.Julius Kambarage Nyerere
3.Benjamin William Mkapa
4.Jakaya Mrisho Kikwete
5.Samia Suluhu Hassan
6.Ali Hassan Mwinyi
KUUPIGA MWINGI
1.Samia Suluhu Hassan
2.Jakaya Mrisho Kikwete
3.John Pombe Magufuli
4.William Benjamin Mkapa
5.Ali Hassan Mwinyi
6.Julius Kambarage Nyerere
CHARISMATIC(MVUTO) KITAIFA
1.John Pombe Magufuli
2.Julius Kambarage Nyerere
3.Ali Hassan Mwinyi-huyu ndio akaitwa Ruksa
4.Jakaya Mrisho Kikwete
5.Benjamin Willim Mkapa
6.Samia Suluhu Hassan-huyu tatizo la nchi mfumo dume kuwa mwanamke hawezi kuwa raisi ila ni kiongozi bora sana.
ELIMU NA NISHANI NYINGI
1.Julius Kambaage Nyerere
2.Benjamin Willim Mkapa
3.Jakaya Mrisho Kikwete
4.John Pombe Magufuli
5.Samia Suluhu Hassan
6.Ali Hassan Mwinyi
MAHUSIANO MAZURI KIMATAIFA
1.Mrisho Jakaya Kikwete
2.Samia Suluhu Hassan
3.Benjamin William Mkapa
4.Ali Hassan Mwinyi
5.Julius Kambarage Nyere(huyu siasa yake ya ujamaa na kutaifisha mali za watu vilimuharibia
6.John Pombe Magufu-Huyu aliharibu sana kuliko watangulizi wake wote.

PATIENCE MVUMILIVUAU SUBIRA
1.Samia Suluhu Hassan
2.Ali Hassan Mwinyi
3.Mrisho Jakaya Kikwete
4.Julius Kambarage Nyerere
5.Benjamin William Mkapa
6.John Pombe Magufuli
FREEDOM OF SPEACH(UHURU WA VYOMBO VYA HABARI)
1.Samia Suluhu Hassan
2.Jakaya Mrisho Kikwete
3.Ali Hassan Mwinyi
4.Benjamin William Mkapa
5.Julius Kambarage Nyerere
6.John Pombe Magufuli
MAHUSIANO NA UPINZANI
1.Samia Suluhu Hassan
2.Jakaya Mrisho Kikwete
3.Ali Hassan Mwinyi
4.Benjamin William Mkapa
5.Julius Kambarage Nyerere
6.John Pombe Magufuli

Hayo ni mawazo yangu tu na wewe unaweza kuweka yako ila tu ninachosisitiza hakuna binadamu mkamilifu labda umlete malaika atutawale.Tuchape kazi tuache kulaumu viongozi wetu na wao sio malaika kuna msemo unasema kila zama na kitabu chake
 
Ukweli ni kwamba raisi aliyeko hafai kuongoza hili taifa Pascal Mayalla
kwa taarifa yako raisi aliyepo ndio raisi bora kuliko watangulizi wake wote.Unajua watu wanaleta mfumo dume hasa watu wa kanda ya ziwa kuwa mwanamke hawezi kuongoza nchi.Kumbuka kati ya viongozi 100 duniani huyu mama ameshinda naye yupo.Mtangulizi wake hakuwa hivyo
 
Huwezi kuwa na busara iwapo hauna IQ Pascal Mayalla Lengo lako ni kutaka kuonyesha kuwa wakristo Wana akili Sana. Hilo umeshalizungumza kwenye thread zako zilizopita. Kwanza una bias za kidini na hilo linaonekana wazi kwenye thread zako hasa zile zenye majibizano ma Mohamed Said na FaizaFoxy. Ulichofanya hapo ni kuficha baadhi ya taarifa muhimu kwenye data na sampuli yako. Mfano Jakaya amesoma shule ya vipaji maalum kati ya hao wote. Hata JPM pia ameunga. Nyerere hana shahada/degree bali ana Diploma na Shahada ya Uzamili (Master) same as Mwinyi hana Shahada bali ana Diploma na Master.
 
kwani Masters sio shahada?
Miaka ile kulikuwa hakuna kitu kinaitwa degree ya kwanza Makerere ilikuwa ni diploma
 
acha hizo wewe kwa taarifa yako waslam ndio walipigania Uhuru wa nchi hii wakati wakristo walikuwa vibaraka wa mkoloni
 
wewe pia umeunga unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…