Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?


Rebeca 83,
Of late, studies have concluded that the IQ test is fundamentally flawed and therefore irrelevant. It is not surprising, nonetheless, that at times the test has been used to cement the misguided stereotype that black people have low intelligence.

And, this very false notion is the central argument of this thread - tribes having been substituted for races.

There is absolutely no link between one:s race and their intelligence. The fact is all human beings are born without built-in mental content and therefore all knowledge comes from experience or perception.
 
Kweli bwan kwani kuwasha taa usiku haimaanishi ndio kumekucha
 
Nahitaji kujua yafuatayo ndugu zangu katika haya maisha ya kila siku
  1. The expirence of supper man can no longer face the reality of poor one?
 

Thanks for your insightful input. MoCA could definitely work. But as you mentioned in one of your previous posts, as a nation, we haven't done proper investments in education and other social services which could act as social disparity equalizers. For example, we don't have good teachers and the education gap between those who have financial resources and those who don't is becoming wider everyday. So I am afraid that we will continue to be in the same state of affairs for many years to come.
 

Again thanks for your input. Just to spice up a bit, originally, the IQ test was devised to identify and help children with mental or learning disabilities. However, over the years, it has evolved to cover the entire spectrum of intelligence which is a very difficult thing to do. So when we take the historical context of the test itself, I believe we need to take some steps back and examine if we have the right concept at hand and whether we use it correctly to address issues patterning to our societies. It is nonsense to use IQ as a badge of honor when we don't know what it entails.
 

Pascal Mayalla We Paskali njaa ndo zinakusumbua. Hivi huna Kazi za kufanya au maisha yako ndo umeyaelekeza humu JF.
 
Nakubaliana na hoja za mleta mada IQ za watu wa mikoa kama ya Kagera, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya huwezi kufanaisha na maeneo kama Dodoma Mtwara Pwani Tabora au Zanzibar, kuna mambo mengi yanachangia mojawapo ni elimu, na mifumo ya kiimani iliyowekwa na wamosionari wa kikiristo. Karibia 90%ya maeneo yote yenye watu wanaojitambua ktk nchi hii ukristo umeshika mizizi sana na hivyo elimu kwao ni jambo la lazima, na hayo maeneo CCM inapata sana taabu kupata kura kwa sababu kuna wajinga wachaje..... UKWELI MCHUNGU.
 
Hata wewe Paskali IQ yako ni ya ajabu sana....kuba wakati unaonekana kama una IQ kubwa ..kuna wakati loooh!Hili suala ni tete sana....! Kule Kolomije ,Mwashimba nk kuna watu hawajui na hawataki kijua kutumia kitu inaitwa choo...kuna Zahanati moja kaskazini mwa Mji Wa Misungwi haina Choo ,au tutumie jina LA kitaalamu tundu LA choo'tangu ilipojengwa mwaka 1977!na huko ndio shina LA Royal Tribe !sasa na sijui na hii kama inauhusiano na na Mada yako!!????
 
hapa ndo unanifanya nipate swali la kukuuliza point yako ya kuwa IQ za watanzania zinapanda na kushuka kwa IQ nayo in graph maana mtu kama IQ yake kubwa hata akizeeka still bado anafanya vitu vya uakika sembuse kijana ndo anakua na IQ ya kupanda na kushuka
 
Kuna hoja ipo kwamba jamii ya wafugaji wana IQ kubwa ukilinganisha na jamii za wakulima ambao hawanywi maziwa ya kutosha. Mimi nimewahi kusoma na Wamasai kadhaa na uwezo wao ni mkubwa sana.Ningependa pia mtoa mada Ni mjulishe jambo moja kuwa si kwamba Jamii ya Wamasai hawazaliwi vilema au albino ni kwamba wakizaliwa wanawatelekeza aidha hospitali au porini.
 
Hii thread imejaa , ubaguzi wa kidini ,kikabila na kimaeneo. Huu ni upuuzi wa kiwango cha kutovumilika. Hata yesu alizaliwa katika umaskini
 
Nami nina hoja,
kwa Kipimo chako cha ufaulu, hivi wasukuma ambao ni zaidi ua 5milion unalinganishaje na wanyiramba ambao ni chini ya laki tano??? hapo ni wazi wale wengi wataonekana zaidi karibu katika kila kitu. mfano kama ni ufaulu wa kwenda secondary wao watakuwa wengi tu kwa sababu ya wingi wao na hivyo IQ Ikawa sio dili tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…