masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Wewe unamatatizo kwahiyo zile jamii za kiafrika zilizo zungumza lugha moja na kuwa mila moja unaziitaje?Wewe ndo unazidi kuonyesha hata usivyoelewa Historia yetu, hakuna kitu kama Kabila la Wanyamwezi Dunia hii kama vile ilivyo kuwa hakuna kabila la Wachaga, Wahaya au hat Wagogo!
Hao wanaojiita Wanyamwezi siyo Kabila, kwanza unajua ni kwa nini wanaitwa Wanyamwezi? Hilo jina walipewa na watu wa Pwani wakati wa Biashara ya utumwa na Pembe za Ndovu, enzi za makaravani ktk Kongo mpaka Pwani, hivyo kabla ya kuanza kwa Biashara ya makaravani watu waliokuwa wanaishi hilo eneo hawakujiita Wanyamwezi kwa maana nyingine hilo unaloliita Kabila la Wanyamwezi halikuwepo kama vile Wagogo inatokana na magogo yaliyokuwa kwenye njia ya karavani sasa watu eneo hilo wakaitwa Wagogo lkn siyo Kabila ni kwamba imezoeleka hivyo tu, hata Wachaga ni hivyo hivyo siyo Kabila bali ni makundi ya watu mbali mbali yanaoyoongea lugha mbali mbali yaliounganishwa na Muzungu (Mjerumani) na kuitwa Wachaga!!
Wacha kuchanganya madesa wewe, wanyamwezi siyo kabila? Ni nani sasa hao?Wewe ndo unazidi kuonyesha hata usivyoelewa Historia yetu, hakuna kitu kama Kabila la Wanyamwezi Dunia hii kama vile ilivyo kuwa hakuna kabila la Wachaga, Wahaya au hat Wagogo!
Hao wanaojiita Wanyamwezi siyo Kabila, kwanza unajua ni kwa nini wanaitwa Wanyamwezi? Hilo jina walipewa na watu wa Pwani wakati wa Biashara ya utumwa na Pembe za Ndovu, enzi za makaravani ktk Kongo mpaka Pwani, hivyo kabla ya kuanza kwa Biashara ya makaravani watu waliokuwa wanaishi hilo eneo hawakujiita Wanyamwezi kwa maana nyingine hilo unaloliita Kabila la Wanyamwezi halikuwepo kama vile Wagogo inatokana na magogo yaliyokuwa kwenye njia ya karavani sasa watu eneo hilo wakaitwa Wagogo lkn siyo Kabila ni kwamba imezoeleka hivyo tu, hata Wachaga ni hivyo hivyo siyo Kabila bali ni makundi ya watu mbali mbali yanaoyoongea lugha mbali mbali yaliounganishwa na Muzungu (Mjerumani) na kuitwa Wachaga!!
Bila shaka ataka ziitwe nchi au mataifa.Wewe unamatatizo kwahiyo zile jamii za kiafrika zilizo zungumza lugha moja na kuwa mila moja unaziitaje?