Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 697
Tukiongelea umasikini wa Kanda na mikoa mleta mada aliyooridhesha hapa tuanzie na historia ya Tanzania na influence ya wakoloni.
Mikoa ya Bukoba, Kilimanjaro, Tanga, Mbeya ni mikoa iliiyobahatika kupata shule za kwanza baada ya wazungu kuleta elimu. Hata Zanzibar.
Tofauti kubwa hapa ni kuwa Zanzibar na Tanga ilimezwa na utamaduni wa ki Arabu kabla ya uzungu.
Pamoja na kuwa shule zilikuwepo lakini wazazi wengi walipata wakati mgumu kuchagua kati ya elimu dunia na elimu akhera.
Kwa dhana ya dini Tanga wamegawanyika sana. Unakuta ukoo mmoja wale walioamua kwenda katika shule za wamissionary walibadili dini.
Utamaduni waawaarabu kwa wakati ule ulikuwa ni biashara na biashara zao nyingi ilikuwa utumwa na kilimo cha minazi. Minazi ikitunzwa vizuri hukaa kwa miaka 50-100. Hivyo ili fanya wazee wapumzike.
Hata hivyo ninaamini mikoa ya Pwani imetoa wazee wengi wakiokuwa na mchango mkubwa katika taifa.
“Iq kubwa ni aghalabu kupatikana kwenye umasikini”, nakubaliana na hoja.
Kwenye umasikini kuna mambo mengi yanayochangia low iq.
Pia culture ina contribute hapo.
Kwenye kimo sidhani. However, kuna studies zinaonyesha watu wafupi kuwa na low self esteem.
People who experience social situations from a lower height - in other words short people - are more prone to feelings of paranoia, inferiority and excessive mistrust.
In a study in the journal Psychiatry Research, scientists showed that making a person's virtual height lower than it actually is can make them feel worse about themselves and more fearful that others are trying to harm them.
Umenikumbusha mbali "scalar and vector quantities" . Du, sasa mkuu,watashiba jumla lini? Kumbe bora walioruhusu posho za semina,vikao,safari nk walishibisha watu,ndo wakafikiri vizuri,life ikawa simple kwa wote.Hayo mambo yalikuwa zamani dunia imebadilika n.a. maisha ni safari tumeoana sana kudilute umasikini ,IQ,n.a. Mila za makabila ndoto za mwalimu zimetimia kwa 70% hata wanaoleta ukabila Leo hawaijui tanzania, low IQ ya viongozi wengi kwa vile hawasimamii vilivyomo kichwani wanasimamia vilivyomo tumboni they don't stand on reality
Vilivyomo tumboni ni scalar quantity n.a. viliyomo kichwani ni vector quantity lazima I dot upata direction ukifikiria scalar quantity tu utakosa direction
Njaa ni asubuhi unakula mchana tena inarudi tena
wamejigundua naona wanataka wazae IQ kubwa sanaSio kidogo mpaka nashangaa kuna siri gan katika hili swala
Huyu jamaa bogus kwelikweli hata usipo comment. Maana kuna siku wakati anatangaza alikuwa akigombana na msikilizaji aliyepiga simu kuchangia mjadala kwenye kipindi chake. Alikuwa ana boa sana.Rejea alichoandika Pascal Mayalla
"Na anawawakilisha jimbo gani?
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.
Nimebadili, “siyo aghalabu”NADRA
Nimeipenda sana hii thread!.Wanabodi,
Usingizi umekata kutokana na mawazo ya huku kukaza kwa vyuma!, mtu unalala hujui kesho siku itaanza vipi, ukiwa totally empty!. Hivyo faraja yangu pekee ni JF. Nimesoma uzi fulani, nikaanza kuwaza na kujiuliza maswali huku mengine nikijijibu mwenyewe.
Huu ni uzi wa swali kuhusu I.Q za baadhi ya wanasiasa wetu wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, wakiwemo mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa, na vigogo wengine wengi, hivyo nikajiuliza kwanza jee ni kweli hawa wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, jee ni kweli wana low I.Q, au ni mtu tuu ametoa mawazo tofauti, wewe huyapendi, ndio unamtukana ana low I.Q?.
Ndipo nikaanza kujiuliza, jee kuna uwezekano watu wenye I.Q ndogo ni kutokana na makabila yao, kiwango chao umasikini kwenye makuzi, au pia heights zao have something to do with low I.Q, yaani mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi?.
Naomba kukiri zaidi ya kukosa usingizi, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na hoja za mwana jf huyu, jidu-la-mabambasi, katika bandiko lake hili
Juma Nkamia ana tatizo la msingi!
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.
Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wahadzabe, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!.
Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari zingejaa Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila wasingegusa secondari!.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwasomesha kwa nguvu watoto 4 wa kabila la Wahadzabe, wote walifeli darasa la saba, lakini akalazimisha waende sekondari kwa lazima. Wakasomea pale Pugu, na wote wanne walipata Divisheni Zero!.
Niliwahi kuuliza swali hili, sikupata jibu
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ni Div IV na Div Zero Tuu?!.
Ila pia kuna uhusiano kati ya heigh ya mtu na akili zake, mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi!' Anza kuwa observe heights za waropokaji bungeni, utaniambia!'
Hili la watu wafupi, nililizungumza hapa, wanafanya vitu vya ajabu kutafuta recognition ili ku compensate inferiority complex yao inayosababishwa na height!.
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?
Hili la poverty level na low I.Q lina athari kubwa kisiasa, angalia levels za umasikini kwenye maeneo watu waliochagua upinzani, ulinganishe na ngome za CCM, utakuta kwenye umasikini uliotopea ndizo ngome za CCM, na kule kwenye ehueni, ndio wamewachagua wapinzani, angalia Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Tanga, Iringa, Mbeya etc, mkoa kama Dodoma hauwezi kuchagua upinzani, they are just too poor to understand wanachagua nini!. Hata Singida, Lissu is an exceptional case. Hivyo hii situation ya I.Q level ina effects kwenye siasa zetu, hivyo kuendelea kushinda kwa CCM, has something to do with this na nilisema hapa
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Hoja zote hizo zinauhusiano na I.Q, na kitu cha ajabu kabisa, kwa kadri vyuma vinavyobana, ndivyo CCM inavyoimarika, mtashuhudia 2020, karibu majimbo yote ya upinzani kama sio yote kabisa huku bara, yatairejesha CCM, upinzani utaanza tena 2025 baada ya rais Magufuli kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati, na kuumaliza umasikini.
NB. Kwenye every general rules, there is always exceptional to the case, hivyo hivyo kuna watu wa makabila masikini wenye high I.Q, na kuna watu wafupi wenye akili ndefu na kuna mijitu mibonge yenye akili fupi and vice versa!.
Paskali
Rejea
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
Wewe ndo unazidi kuonyesha hata usivyoelewa Historia yetu, hakuna kitu kama Kabila la Wanyamwezi Dunia hii kama vile ilivyo kuwa hakuna kabila la Wachaga, Wahaya au hat Wagogo!
Hao wanaojiita Wanyamwezi siyo Kabila, kwanza unajua ni kwa nini wanaitwa Wanyamwezi? Hilo jina walipewa na watu wa Pwani wakati wa Biashara ya utumwa na Pembe za Ndovu, enzi za makaravani ktk Kongo mpaka Pwani, hivyo kabla ya kuanza kwa Biashara ya makaravani watu waliokuwa wanaishi hilo eneo hawakujiita Wanyamwezi kwa maana nyingine hilo unaloliita Kabila la Wanyamwezi halikuwepo kama vile Wagogo inatokana na magogo yaliyokuwa kwenye njia ya karavani sasa watu eneo hilo wakaitwa Wagogo lkn siyo Kabila ni kwamba imezoeleka hivyo tu, hata Wachaga ni hivyo hivyo siyo Kabila bali ni makundi ya watu mbali mbali yanaoyoongea lugha mbali mbali yaliounganishwa na Muzungu (Mjerumani) na kuitwa Wachaga!!
Nimeipenda sana hii thread!.
*Tukija katika Suala la Elimu, Kigoma iliachwa nyuma makusudi ila watu wake wana IQ kubwa. Akisoma mtu mmoja utadhani wamesoma 100 (Zitto, Kafulilla, Mpango, Ndalichako nk)
*Tukija katika suala la umaskini, Kigoma kuna umaskini mkubwa ila waha ni wapambanaji kweli kweli. Hakuna mkoa utawakosa. wapo kila kona. Ni matajiri wa baadaye!
* Tukija katika suala la Ufupi, watu wa Kigoma wengi ni wafupi sana ila ni Wabishi kuonyesha kiwango chao kikubwa cha kufikiri - IQ. (Mwenye kubisha ana hoja)
* Pamoja na yote hayo ni Mkoa wa Kigoma pekee Upinzani umedumu Tangu kuingia mfumo wa vyama vingi. Hakuna uchaguzi kigoma ilikosa mpinzani. wana IQ kubwa. Watamchagua Magufuli au Kikwete Raisi lakini mbunge wanapima IQ yake! Haijalishi anatoka chama gani. Ni waumini wa uwezo wa mtu na sio chama!
NB: Hii inaonyesha watu wa Kigoma ni zaidi ya exceptional - Genius!!
Serikali: Pelekeni miundombinu ya uhakika. Huduma za afya za Uhakika. Anzisheni vyuo Kigoma vya Kutosha. Wekezeni Kigoma. Huko kuna ma-genius. Huko kuna wazalendo. Watu wa Kigoma sio wezi. Ni waaminifu. Nani asiyewajua akina Wachu??.
Kuna nchi nyingine wanawaona watanzania kama Taifa ni 0 IQ.
100% uko sahihi hasa pale uliposema kuna exceptions but umesahau kitu kimoja ukiunganisha eneo na eneo madhalani Dodoma, Singida na kuendelea mwishowe utapata nchi inayoitwa zero IQ, pia ukiunganisha culture na culture mwishowe utapata culture ya nchi nzima ambayo ni 0 IQ. Pia ukiunganisha taasisi na taasisi yenye 0 IQ mwishowe utapata taifa nzima lenye 0 IQ.
Nazan hivo ila mnyakyusa itakuwa faida kwake mana mchaga ana vitu viwili IQ kubwa na upambanaji katika kutafuta ila mnyakyusa IQ tu mana katika kutafuta anaweza lakin hafiki level ya mchagawamejigundua naona wanataka wazae IQ kubwa sana