Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Watu ambao mko brainwashed mnashida sanaConcept nzima ya laana ni fiction tu ya Imani/dini. Binadamu wanavyotenda ni matokeo ya genes, mazingira, makuzi, interactions, nyakati na bahati.
Huelewei chochote kuhusu tofauti ya laana na bahati.Watu ambao mko brainwashed mnashida sana
Unakataa laana ila unakubali kuna bahati, mazingira haya ni maajabu
Na hapo ndipo laana hujidhihirisha maana kama sio laana, wanashindwa vipi ku battle na waliona kabisa timu nyingine zilivyo toka kabla ya wao?Team ni Morocco tu, haya mengine yanaendeshwa na mihemko. Huwezi kushindwa kuzuia dakika 10 za mwisho na unaongoza mbili.
Wanashindwa kujua huo ndio muda hatarishi zaidi kwao sababu mpinzani anafanya kila analoweza ili arudishe magoli, badala ya kuongeza compactness, nyie ndio mnarelax..
Nimekwazika sana aisee
Pole kama ndiyo umejua leo. Waafrika ni ngono na fitina tu aah hapo umefika labda kuwe na kombe la Dunia la haya mambo tutashinda.. wallahi tena!Kwa kinacho tokea world cup kuna namna kama huo msemo una coleration flani na reality
Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanaingiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi..
Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi nyeusi ina gundu? Au maturity ya decisions ndo chanzo..?
Hapana, coz hao ni high class players.. Sasa linabaki swali nini shida?
Hata tukiangalia soka la vilabu pia, wanao chukua back to back huwa ni waarabu tu, na ukiangalia vikosi vyao ndo mwafrika mweusi unakuta mmoja wawili..
Juzi tu hapa tulipongezana eti kati ya timu kumi zimeenda 9 Hatu ya 32, haya kikowapi? Shida iko wapi? Juzi kipindi Ivory Coast wanatolewa ilikua kama utani vile, haya leo hawa Senegal wenye kikosi kipana na kizuri kabisa, wanaongoza mbili mpaka dakika ya 85 imagine, wanarudishiwa na kushindwa kweli?? Just 5 min za kukaza Daah sisi lini tutakuwa smart kujua nini tunatafuta na kulinda kile kidogo tumepata..
This is enough, kumbe ni bora ile Ghana ya kina Asamouh Gyann leo mpira umebaki maonesho tu, wachezaji ubinafsi na kukosa link up nzuri kwa ajili ya ushindi wanabaki kutaka kuonesha uwezo wakati this is once in 4 years..
Sasa ndo utasikia morroco wana Sema walikua sawa kutokujumuika nasi weusi
Bahati pia ni fiction haithibitiki kwako wewe unaona bahati mwingine anaona sio bahatiHuelewei chochote kuhusu tofauti ya laana na bahati.
Laana ni fiction kwa sababu kwanza haithibitishiki, bahati ni kitu halisi kwa sababu ni kitu kinachoweza kuthibitishika tena kirahisi sana.
Kwa kinacho tokea world cup kuna namna kama huo msemo una coleration flani na reality
Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanaingiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi..
Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi nyeusi ina gundu? Au maturity ya decisions ndo chanzo..?
Hapana, coz hao ni high class players.. Sasa linabaki swali nini shida?
Hata tukiangalia soka la vilabu pia, wanao chukua back to back huwa ni waarabu tu, na ukiangalia vikosi vyao ndo mwafrika mweusi unakuta mmoja wawili..
Juzi tu hapa tulipongezana eti kati ya timu kumi zimeenda 9 Hatu ya 32, haya kikowapi? Shida iko wapi? Juzi kipindi Ivory Coast wanatolewa ilikua kama utani vile, haya leo hawa Senegal wenye kikosi kipana na kizuri kabisa, wanaongoza mbili mpaka dakika ya 85 imagine, wanarudishiwa na kushindwa kweli?? Just 5 min za kukaza Daah sisi lini tutakuwa smart kujua nini tunatafuta na kulinda kile kidogo tumepata..
This is enough, kumbe ni bora ile Ghana ya kina Asamouh Gyann leo mpira umebaki maonesho tu, wachezaji ubinafsi na kukosa link up nzuri kwa ajili ya ushindi wanabaki kutaka kuonesha uwezo wakati this is once in 4 years..
Sasa ndo utasikia morroco wana Sema walikua sawa kutokujumuika nasi weusi
Usiwe kilaza,Bahati pia ni fiction haithibitiki kwako wewe unaona bahati mwingine anaona sio bahati
Epuka kukariri mambo
Laani ni kukosa bahati hiyo ndo tafsiri fupi ya laana
kama ukizaliwa marekani na nchi iliyoendelea ni bahati basi kuzaliwa nchi maskini ni laanaUsiwe kilaza,
Mtu akizaliwa Marekani au katika nchi zilizoendelea hiyo ni bahati tofauti na wewe uliyezaliwa Kazuramimba, kufanikiwa maisha mwake ni rahisi zaidi kuliko wewe.
Kuzaliwa familia ya Ufalme Ulaya, Uarabuni au familia ya Urais hiyo ni bahati tofauti na wewe uliyezaliwa na wakulima wa nyanya wa jembe la mkono.
Ukizaliwa una akili kubwa hiyo ni bahati,
Hii ni mfano michache tu tena ya kuzaliwa, nionyeshe laana Iko wapi katika mahali au familia mtu anazaliwa.
Ninaweza kukupa mifano milioni moja ya jinsi bahati zinaamua maisha ya watu kwenye ajali, kesi, utajiri, ndoa, michezo n.k
Muafrika anaweza kufanya kazi yoyote ile vizuri sana kama akiwa anaongozwa na watu wengine, kama vile wazungu. Lakini wakijiongoza wenyewe, hawafiki popote.
Angalia siku za nyuma, makampuni ya Japan yalipokuwa yanatengeneza barabara Tanzania, wafanyakazi zaidi ya 90% ni watanzania, viongozi Wajapan, barabara safi kabisa. Serikali ikaanzisha kampuni ya ujenzi wa barabaraya, kilometa 1 ilikuwa inajengwa hata kwa miaka 2, ikianza kutumika, mwaka wa kwanza tu, mashimo kila sehemu.
Hata leo hii, wafanyakazi wakabakia hawa hawa huko ATCL, TANESCO, wakapewa wazungu kusimamia, utashangaa ufanisi utakavyobadilika.
Hii ndiyo ile maana ya Trump kusema:
"Africa needs to be recolonized"
Nenda kwenye asili , sio mambo artificial. Leo wewe hata uathiriwe na utamaduni wa mzungu, bado huwezi kuwa mzungu kiasilia, ila unaweza kuwa na uraia tu wa taifa husikaNyie wote hamjaelewana.
Hapo kuna swala la culture pia hanjazungumzia