Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

Tajiri kwa iyo ulikuwa umeamini kabisa kwamba Ubelgiji wanafungwa? 😊
Pole sana.
Ndio hapo sasa, tena naona hata zile goli waliwabahatisha tu, ni vile tu wameikuta belgium imechoka, sio ile ya akina hazard, origi, kompany, alderveireld, vermaelen, vertonghen, marouane fellain, dries martens, adnan januzaj. Wangekufa nyingi sana hao
 
Kipindi Senegal anawachapa England na Brazil fifa series mlikuwa mmelala?
 
Usije kurogwa kuamini timu za wamatumbi hata siku Moja. Africa timu ni moja tu- Morocco.

Wazo la gattuso kupunguza matimu ya Africa sio baya. Lifanyiwe kazi kuliko kujaza matimu yanayogawa utamu tu.
Kila bara limepangiwa idadi ya timu za kushiriki kombe la Dunia.

Kama hilo linawakera poleni.
 
Labda kuna mambo ya giza.
 
Alafu dunia ya sasa makamali(betting)imeharibu sana sports

Ova
 
Usije kurogwa kuamini timu za wamatumbi hata siku Moja. Africa timu ni moja tu- Morocco.

Wazo la gattuso kupunguza matimu ya Africa sio baya. Lifanyiwe kazi kuliko kujaza matimu yanayogawa utamu tu.
Vipi za Asia mzee....Asia Walitolewa wote makundi akabaki Japani tu, ambaye alitolewa na Brazil zikiwa zimebaki sekunde 20...na alikuwa anaongoza!
 
Kuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Vip kuhusu Japan na Netherlands, mbona wenyewe wametolewa kikatili kama hao Waafrika tu?
 
Unenikumbushia ukoloni.....Mwingereza ambaye ni kisiwa kidogo tu kilikuwa hakina watu hata milioni 10 kipindi hicho ila kikatawala Dunia nzima kuanzia Marekani, India, Hong Kong, Canada, Africa mashariki, kusini, kaskazini na Magharibi na nchi nyinginezo, na watu walikuwa wanapewa kazi ya kutawala makoloni ni sehemu ndogo tu ya population hiyo...ila wakaacha legacy kubwa ya kimiuondombiu, koutawa, kisheria, kielemu
 
Sio mbaya senegal wamepita na 50k yangu kwa odd 3.9,,, sijui niache kubet maana sikutegemea kama wangerudishiwa zote na kuwekwa jingne.
Mimi walipokuwa wanaongoza 2-0 niliweka ubelgiji anapita, nikatia 3000, nikashinda 12000
 
Kama ni laana hata hao walioko ulaya ingewakuta.
 
Angalia michuano ya 2022 position walio ishia kila kitu ni focus na kuweka goals
Sasa si ndo wamekuwa kisoka na matokeo yapo, ila Africa tunatoa wachezaji wengi nje ila tunaishia kuwa nufaisha wao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…