Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29,
1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela pia wanataka vitu haraka asipowapa kwa muda wanamuacha
2.Yeye wasichana wa miaka 28 mpaka 30 ndio wanamkubali
3.kila akitongoza anadondokea kwa wenye miaka 27 - 29
Je tumshauri nini akomae na age go? Au asubiri umri wake uende ndiyo atafute binti mdogo (kukosoa Ruksa)