Je, kuoa ambaye ameshazaa na wewe huna mtoto inaweza kuleta changamoto baadae?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
4,545
Reaction score
10,426
Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29,

1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela pia wanataka vitu haraka asipowapa kwa muda wanamuacha

2.Yeye wasichana wa miaka 28 mpaka 30 ndio wanamkubali

3.kila akitongoza anadondokea kwa wenye miaka 27 - 29

Je tumshauri nini akomae na age go? Au asubiri umri wake uende ndiyo atafute binti mdogo (kukosoa Ruksa)
 
Mbona kama huyo unayemsema ndio wewe mwenyewe. Sema tukushauri.
 
Tafuta bikra uoe
Huyo aliezalishwa achana nae
 
Wanasema age's just a number mkuu"
Kikubwa afuate moyo wake ila asisahau akili zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…