Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Watu ambao hamjaoana, kuonana kimwili hata kwa muda mfupi tu ni kujisogeza karibu na shimo la moto wa milele. Kama kumtazama tu mwanamke kwa kumtamani ni dhambi, sembuse huo uasherati
 
Watu ambao hamjaoana, kuonana kimwili hata kwa muda mfupi tu ni kujisogeza karibu na shimo la moto wa milele. Kama kumtazama tu mwanamke kwa kumtamani ni dhambi, sembuse huo uasherati
Ndiyo maana hata kuoana inakuwa ngumu mkiishaanza hizo harakati
 
Kuna uwezekano mkubwa wasioane. Huyo jamaa anaweza kumkinai binti na kwenda kuoa mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…