Alikuwa anatumia common sense kwenye nini???Wanacho kosea wapinzani ni kuwapigania watanzania mbu mbu mbu.
Yaani ni sawa na kujidharau kabisa.
Unakuwa chambo kwa maji tu yanayo furaha simba na yanga.
Mimi nampongeza sana Mbowe, katumia common sense, na alikuwa anatumia common sense toka mwanzo
Kamwe usitumie logic mahala nguvu ya hisia haipo utaumia bila kupenda
Kwa mfano alivyoambiwa ana kesi ya kujibu,angesema hana cha kujitetea wangefanyaje?Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
Mbowe ni mfano wa kuigwa japo amezungukwa na washenzi kama Yericko NyerereWanacho kosea wapinzani ni kuwapigania watanzania mbu mbu mbu.
Yaani ni sawa na kujidharau kabisa.
Unakuwa chambo kwa maji tu yanayo furaha simba na yanga.
Mimi nampongeza sana Mbowe, katumia common sense, na alikuwa anatumia common sense toka mwanzo
Kamwe usitumie logic mahala nguvu ya hisia haipo utaumia bila kupenda
Tanzania kwa sasa haitekelezi hukumu ya kunyongwa mpaka kufa.Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
Mmh.😃Haitatokea .Na endapo watalazimisha basi watanganyika tutaenda ikulu kuiteka na huyo mnyongaji kula naye sahani moja
Nani anafanya janja janja? Unaweza kuifanyia Mahakama janja janja?Treasonous hakuna kufungwa maisha, hukumu inasema anyongwe hadi kufa, hatutaki janjajanja
Wazee wa busara sana sema mwenye akili fupi hawezi jua..Mbowe ni mfano wa kuigwa japo amezungukwa na washenzi kama Yericko Nyerere
Mh Lisu alishawahi kusema, yeye alishahukumiwa kifo wakati wa Utawala wa awamu ya tano. Huyu mnaemuona ni Mungu pekee mwenye siri ktk kuurejesha uhai wake tena duniani. Na kamwe hatatulia na kama ikiwezekana basi waje wamalizie kazi aliyoianzisha Magu.Na kwa situation ilivyo. Hata kama kesi watu wengi wanaichukulia kama ya kisiasa lakini kuna kila dalili atakutwa na hatia.
Na Lisu kwa anavyoonekana yupo tayari kwa majibu hayo.
Sijasema watatekeleza kitendo Cha kumnyonga no, but akikutwa na hatia hukumu inakuwa kunyongwa hadi kufa, although watu wenye hukumu iyo, wanaishiaga kukaa jera hadi kufa.Nani anafanya janja janja? Unaweza kuifanyia Mahakama janja janja?
Ni nani unayemjua wewe ambaye amenyongwa kwenye hii miaka ya hivi karibuni?
Bongo most death sentences eventually commuted to life imprisonment.
Lazima kiwakeKama itatokea hivyo basi sadaka ya damu ya Lissu italikomboa taifa .maana hata sisi wengine tutakinukisha
Mrudisheni sasa kwenye uongozi😁😁Wazee wa busara sana sema mwenye akili fupi hawezi jua..
Mbowe alijua liberation ni mkakati. Ila hawa wengine wanafikiria inakuja kama mvua tu, eti kwa kuangalia mawingu
Acha kuuliza impossibles! Hiyo haiwezi kutokea hata siku moja. Mnakuza mambo ili mwendelee kupata haki ya ukimbizi huko njeKwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
Hapatakalika, haya mambo ya insurgency yanaanzaga hiviSiku ya hukumu ya kunyongwa Kwa Lissu kama wataamua hivyo itampa umaarufu Dunia nzima na chama chake huku ikiwachafua na nchi yetu ikipata aibu
Inaweza CCM hawana aibuAcha kuuliza impossibles! Hiyo haiwezi kutokea hata siku moja.
Acha kuuliza impossibles! Hiyo haiwezi kutokea hata siku moja.
Hana haraka acha ngoma ipigwe hadi mwishoHiyo adhabu haipo kwanza.
Na ubishi wake Ndo unamchelewesha huko selo anapapenda mwenyewe.