Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Sidhani kama wataweza kumnyonga!
 
Kama itatokea hivyo basi sadaka ya damu ya Lissu italikomboa taifa .maana hata sisi wengine tutakinukisha
Lisu hata sasa hastahili kushikiliwa kwenye kuta za mahabusu. Ungekuwa ni mtu wa kukinukisha kweli. Usingepoteza muda wako kuandika hiyo comment badala yake ungekuwa tayari umeshakinukisha. Ila ndio kama ilivyo kwa wabongo wengi wishful thinking iko na nguvu kuliko uwezo halisi wa ku execute.
 
Unaielewa hii statement? :Ushahidi sio lazima uwe mzito na wa kuaminika" ili Lissu aonekane alitenda kosa.

Kwa hiyo kwa kurefer kwa hiyo statement: Lissu, hata aruke ruke, aeleze biodata yake kwa masaa 24, alie, au aaombe kwa Miungu yote ya duniani na mbinguni, the end will always be the same: LIFE
 
Siombei itokee lakini hakuna impact ya maana itatokea sio kwa bongoland bado sanaa ubinafsi na unafki uko juu mnoo, pressure kutoka nje itakua kubwa kuliko ndani, waTz hatupendi maumivu, na hakuna mabadiliko ya kweli yanatokea pasina maumivu haswaa.
 
Lissu hawezi kunyongwa hata kukitokea hukumu ya kunyongwa.
Ataachiwa muda mfupi usiozidi miaka 2.5.
 

Hatari sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…