Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Kaini anaishi kama digidigi hana amani hatia ikimuandama machozi ya wajane na yatima yapo nae sambamba hadi atakapomaliza maisha yake duniani, huku akiwaachia laana watoto wake.
"Kaini upo wap mbona umejificha"
 
Asingekuwa JPM na bashite vijana wengi wangekuwa wanatoa kamasi tu barabarani kwa sababu ya ngada na mambo ya ovyo, mnyonge mnyongeni aliwakomesha Sana wazee wa ngada. Nchi chini ya JK ilienda halijojo kila kukicha watanzania wanakamatwa na madawa kwenye nchi za watu mpaka ukisafiri kama wewe ni mtanzania unapekuliwa Kama mwizi furani.
 
KUBENEA siku zote anaishinkwa UNAFIKI.

Na tena Unafiki unamlipa sana.

Unafiki huo huo umewahi kumpa mpaka Ubunge.

KUBENEA aliwahi kuandika kuwa Lowassa Ni FISADI papa kwa miaka 8 na ghafla ndani ya usiku mmoja, akamsafisha Lowassa na kupewa nafasi ya kugombea Ubunge Ubungo kupitia CDM.

Aliwadanganya watu wa Ubungo, akishinda atawataja waliobeba pesa za Stanbic Escrow mpaka leo kimya.

Amekuwa akitumika na Mbowe kujifanya anapata taarifa za TISS kuwa Zitto Ni msaliti kama kawaida yake, Mara ACT imeanzishwa na Lowassa na Mara ghafla uchaguzi wa 2020 akahamia huko huko ACT kwa Zitto.

In short, huyu KUBENEA Ni mpuuzi fualani anayejua kukoroga akili za misukule went mtindio wa ubongo wasio na kumbukumbu.

Sasa hivi ,ameona atoke vipi ndio kaamua kuleta hizi drama uchwara za Making[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kubenea ni mtu mzito, usimchukulie poa
 
Ilishindwa vipi kuuondoa uovu hata kwa assassination of source of evil.
Hakuna namna yeyeto ya kuepusha na lawama
Hata CIA hawana ruksa ku Terminate raia wa marekani, iwe ni ndani ya marekani au nje ya marekani bila OK ya mr President
 
Tena kukamata kwenyewe ka mtu ka moja ! Jephta upo sahihi.
TISS haina mamlaka ya kukamata, kila sehem na majukum yake ndo maana polisi haendi kulinda ndani ya gereza na askari wa magereza hawafungui kesi za jinai kwahyo kila mtu na majukumu yake
 
TISS haina mamlaka ya kukamata, kila sehem na majukum yake ndo maana polisi haendi kulinda ndani ya gereza na askari wa magereza hawafungui kesi za jinai kwahyo kila mtu na majukumu yake
Sahihi mkuu
 
Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.

Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.

Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?

Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.

Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.

Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.
Yuko kwako, eti?
 
Back
Top Bottom