Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Kaini anaishi kama digidigi hana amani hatia ikimuandama machozi ya wajane na yatima yapo nae sambamba hadi atakapomaliza maisha yake duniani, huku akiwaachia laana watoto wake.
"Kaini upo wap mbona umejificha"
 
Asingekuwa JPM na bashite vijana wengi wangekuwa wanatoa kamasi tu barabarani kwa sababu ya ngada na mambo ya ovyo, mnyonge mnyongeni aliwakomesha Sana wazee wa ngada. Nchi chini ya JK ilienda halijojo kila kukicha watanzania wanakamatwa na madawa kwenye nchi za watu mpaka ukisafiri kama wewe ni mtanzania unapekuliwa Kama mwizi furani.
 
Kubenea ni mtu mzito, usimchukulie poa
 
Ilishindwa vipi kuuondoa uovu hata kwa assassination of source of evil.
Hakuna namna yeyeto ya kuepusha na lawama
Hata CIA hawana ruksa ku Terminate raia wa marekani, iwe ni ndani ya marekani au nje ya marekani bila OK ya mr President
 
Tena kukamata kwenyewe ka mtu ka moja ! Jephta upo sahihi.
TISS haina mamlaka ya kukamata, kila sehem na majukum yake ndo maana polisi haendi kulinda ndani ya gereza na askari wa magereza hawafungui kesi za jinai kwahyo kila mtu na majukumu yake
 
TISS haina mamlaka ya kukamata, kila sehem na majukum yake ndo maana polisi haendi kulinda ndani ya gereza na askari wa magereza hawafungui kesi za jinai kwahyo kila mtu na majukumu yake
Sahihi mkuu
 
Yuko kwako, eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…