Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
You welcome MkuuThanks very much for educating that Nut.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You welcome MkuuThanks very much for educating that Nut.
Nilisikia hata kabla ya hii kesi kuwa jamaa yuko Italy. Sina hakika kama kuna ukweliNitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Well Noted Mkuu
Ndio kakimbia sasaYe ni nani nchi hii
Ndugu PM isingekuwepo hilo Jambo usingeniambia tu hapa hapa? au unataka tupindue nchi hii?Siwezi kuwa huko maana mimi ni mgagaaa njaa mjini njoo kuna mambo nataka kuzungumza na wewe
Nampenda na najisikia Raha Kuiga Uandishi mpaka Uwasilishaji wake wa Taarifa / Masuala hapa JamiiForums. Hivi amepotelea wapi huyu Mtu Ndugu?Wewe na Gentemacy mtakuwa na undugu kidogo?
Hao waiiomkamata nao nawalaumu sana kwani huko huko tu wangemaliza Shughuli ili akawe Rutuba katika Udongo wa Kwao Mkoani Mwanza. Wamenikera mno!Kwa taarifa zinazosambaa,Ni kwamba amekamatwa Rombo akitaka kuvuka mpk na kwenda Mombasa ama Nairobi..alitaka kuingia Kenya.
Mbona jamaa wa watu yupo vizuri sana tu. Pia ameshika Dini sana na ni MTU wa haki.Msuya Athumani kayumba sana hapaswi kuwa DG wa TISS kwa sasa, mambo yameenda mlama kwake. Abadilishwe upesi ili Tanzania iwe sehemu salama
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Huna ukijuacho the Man is a typical Failure to that Post japo Mheshimiwa Rais anaendelea kuwa nae akidhani he's that Competent hapo ( pale ) Idarani / Taasisini.Mbona jamaa wa watu yupo vizuri sana tu. Pia ameshika Dini sana na ni MTU wa haki.
Sasa Mzungu apelelezi nini afrika kipi asichokijua kuhusu afrika, Wanaijua TANZANIA kuliko hata wewe unavyoijua tza bila hata kuhitaji kuingia gharama kuweka wapelelezi.actually kuwa na intelijensia nzuri inahitaji uwekezaji/pesa, manake inainvolve hata kulipa pesa mamluku toka kwako kwenda mataifa mbalimbali na hata wale wa kulekule. ndicho wanachofanay marekani, kuna wapelelezi wengine wa kimarekanini watanzania wenzetu na wanapokea mpunga kuisaliti nchi (hawajui adhabu yake ni kubwa sana wakikamatwa). kwa wazungu, hao unaona wanajifanya wanaleta NGO na wengine watalii, wengi ni wapelelezi. wazungu wachache sana wanaipenda africa. na Rwanda hana hela kuafford yote hayo, ni upelelezi huu wa kawaida tu huu.
Aende wapi kwa ujanja gani mshamba yule zaidi kwa waganga labda wakale pesa zake.Ndio kakimbia sasa
Inaogopa itachafuka kama ilivyochafuka kwenye kesi ya MboweSerikali haijaamua...
Msuya alupoingia tiss tu, wasiojulikana wakakoma,,, ni muadilifu na anafanya kazi kwa ueledi mkubwaNitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )