Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Nilisikia hata kabla ya hii kesi kuwa jamaa yuko Italy. Sina hakika kama kuna ukweli
 
Kwa taarifa zinazosambaa,Ni kwamba amekamatwa Rombo akitaka kuvuka mpk na kwenda Mombasa ama Nairobi..alitaka kuingia Kenya.
 
Siwezi kuwa huko maana mimi ni mgagaaa njaa mjini njoo kuna mambo nataka kuzungumza na wewe
Ndugu PM isingekuwepo hilo Jambo usingeniambia tu hapa hapa? au unataka tupindue nchi hii?
 
Wewe na Gentemacy mtakuwa na undugu kidogo?
Nampenda na najisikia Raha Kuiga Uandishi mpaka Uwasilishaji wake wa Taarifa / Masuala hapa JamiiForums. Hivi amepotelea wapi huyu Mtu Ndugu?
 
Kwa taarifa zinazosambaa,Ni kwamba amekamatwa Rombo akitaka kuvuka mpk na kwenda Mombasa ama Nairobi..alitaka kuingia Kenya.
Hao waiiomkamata nao nawalaumu sana kwani huko huko tu wangemaliza Shughuli ili akawe Rutuba katika Udongo wa Kwao Mkoani Mwanza. Wamenikera mno!
 
Msuya Athumani kayumba sana hapaswi kuwa DG wa TISS kwa sasa, mambo yameenda mlama kwake. Abadilishwe upesi ili Tanzania iwe sehemu salama
Mbona jamaa wa watu yupo vizuri sana tu. Pia ameshika Dini sana na ni MTU wa haki.
 

Nakuomba PM tuyajenge.

Thanks !
 
unyama wake wako watu wa juu, sasa kesi ikimkalia kooni wote watafahamika.
Tusishangae akapotea kama Balali au akapotezwa.
 
Mbona jamaa wa watu yupo vizuri sana tu. Pia ameshika Dini sana na ni MTU wa haki.
Huna ukijuacho the Man is a typical Failure to that Post japo Mheshimiwa Rais anaendelea kuwa nae akidhani he's that Competent hapo ( pale ) Idarani / Taasisini.
 
Sasa Mzungu apelelezi nini afrika kipi asichokijua kuhusu afrika, Wanaijua TANZANIA kuliko hata wewe unavyoijua tza bila hata kuhitaji kuingia gharama kuweka wapelelezi.
 
Msuya alupoingia tiss tu, wasiojulikana wakakoma,,, ni muadilifu na anafanya kazi kwa ueledi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…