Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

tunapimaga,,,,siwezi vaa nailon mm..laza ntaipaje,,,,,joto lake ni extra ordinary na anapnda show nefu za kibabe,,na yeye anapena uji wangu pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah! Mkuu kuwa makini aisee
 
Cha muhimu ni kuwa na chanzo cha kipato. Ukiwa na uhakika wa kipato kuanza na nyumba au gari ni uamuzi wa mtu. Watanzania wengi wanajenga nyumba taratibu,nyumba inachukua hadi miaka mitano kwisha. Sasa miaka yote mitano hii uteseke na usafiri wa bongo kisa nyumba?

Kama una visenti nunua usafiri then anza kujenga taratibu, tuache uoga wa maisha.
 
Sawa sawa. Muhimu uhakika wa kipato. Kuna mwanamuziki Craig David aliwahi kuulizwa amenunua gari gani baada ya ku hit, akasema sina gari ila nafurahi sana nikipita showroom ya ferrari nikijua nina uwezo wa kununua zote walizozipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…