Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Samahani kama kuna watu nitawagusa.Sina nia mbaya.Nakubaliana na wewe lakini raha ya gari uipack nyumbani kwako ndani ya geti asubuhi unaamka unaiwasha chopa unatembea zako.Inapendeza sana.Usafiri.ni.mgumu Dar.Mikoani hawana hiyo kadhia.
 
Hakuna cha kujitambua nyie mchawi wenu gari
 
Mkuu hata nyumba ya kupanga ina geti,unala asubuhi unaiwasha unatwmbea zako.

Kama una hela maisha ni magumu ukiwa huna gari kuliko ukiwa huna nyumba. Kukodi nyumba ni nafuu kuliko kukodi gari.
 
Hakuna cha kujitambua nyie mchawi wenu gari
Ina geti lakini siyo yako!!Mimi silazimishi mtu kujenga nyumba natoa mawazo yangu tu.Nyumba ni bora zaidi ya gari mambo ya debate za secondary education is better than money!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…