Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa.
Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri
=====================================================
The Vatican has given the green light for gay men to become priests - as long as they remain celibate.
In an unexpected adjustment to practice in the Catholic Church, the new guidelines from Italian bishops will allow gay men to enter
Although the Vatican had not explicitly prohibited gay men from entering the priesthood in the past, an instruction from 2016 barred men who have "deep-seated homosexual tendencies".
The new guidelines, approved by Italian bishops, say seminary directors should consider a priestly candidate's sexual preferences, but only as one aspect of their personality.
"When referring to homosexual tendencies in the formation process, it is also appropriate not to reduce the discernment to this aspect alone, but โฆ to understand its meaning within the whole framework of the young person's personality," the guidelines say.
Pope Francis, who has been pontiff since 2013, has been viewed by some as having taken a more welcoming approach towards the LGBTQ+ community.
This has included allowing priests to bless same-sex couples on a case-by-case basis - but the admittance of gay men into the priesthood has remained a taboo subject
Source: Sky News
Pope Francis ni product ya corruption kubwa inayoendelea ndani ya kanisa. Kuna kundi lenye mahusiano ya siri na watu wasio muabudu Mungu, ambao wamechukua karibu nafasi zote za juu ndani ya kanisa, ili watekeleze hii mipango yao.
Ukisoma sana mtiririko wa mambo, hili linaloendelea halishangazi. Kuna utabiri kadhaa ulishatolewa na namna hata mambo yatakavyoishia. Hii mipango lazima itakwama kwasababu ni mipango ya shetani na wapambe wake, na wala sio ya Mwenyezi Mungu.
Kwa mfano, Mwaka 1917, kule Fatima, yalielezwa mengi kuhusu ulimwengu na hatma ya kanisa na changamoto zake. Pope wengine wote walichukulia warning ile seriously, akiwemo Pope Pius wa 12..
Ila Pope John wa 23, ambaye in person, alikataa kabisa utabiri wa Fatima. Inasemekana hakutakiwa kuwa Pope, maana alipindua meza kwenye conclave na kwa ubabe kukataa uchaguzi wa Cardinal Siri kuwa Pope. Na alipopata akaanzisha mchakato wa Vatican 2, uliowezesha hawa progressive minds kuleta haya wanayoleta.
Lakini, hakuna mtu atakayelishinda kanisa. Hili kanisa lilivyo sio mali ya wanadamu na hakuna mwanadamu anayemzidi maarifa Mwenyezi Mungu.
Isipokuwa kuna wengi twaweza kupoteza roho zetu kama kwa makusudi tunazikataa amri za Mwenyezi Mungu na kutengeneza za kwetu. Tutapoteza roho zetu kama kwa makusudi tunakataa mafundisho yake na kuanzisha ya kwetu. Biblia hairuhusu watu wa jinsia moja kuoana. Pope anapata wapi hayo madaraka ya kuruhusu hayo?
Pope hii nguvu amepata wapi? Ikumbukwe rafiki yake aliyemletea mizengwe Pope Benedict 16, na aliyepmpandania na group lake la St. Gallen Mafia, Cardinal Carlo Maria Martini, alikuwa ni Freemasons. Hayo mengine hatuyajui, ila Mwenyezi Mungu sio wa kumfanyia kejeli. Hakuna siri hii dunia. Soon or later yote yatakuwa hadharani.
taratibu taratibu tunaanza kuyaona na kuyaelewa zaidi. Eeeh Mwenyezi Mungu utunusuru!!