Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

Mnaoishi tunaomba mchanganuo jamani mnaishi vipi, make mi naona dalili za kaurudi kwetu....
Wewe uncle huwezi ondoka mjini tena nina mpango wa kukuuzia karanga zilizochomwa vizuri kwa kila kilo moja 3500/- we ukifika nyumbani unapack tu maisha yendelee kwa kio hutakosa 2000 kwa wiki 5 una 10,000/- faida kwa mwezi 40,000/- inalipa maji ,umeme na gas.
 
Back
Top Bottom