Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
Ngoja nije na mkekaMnaoishi tunaomba mchanganuo jamani mnaishi vipi, make mi naona dalili za kaurudi kwetu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nije na mkekaMnaoishi tunaomba mchanganuo jamani mnaishi vipi, make mi naona dalili za kaurudi kwetu....
Ndo maana anaweza kuishi Dsm-mji wa mipangoMkuu una kazi ngapi maana toka nikujue zinafika 20
Dah! kweli mjini mipangoNdo maana anaweza kuishi Dsm-mji wa mipango
Wanakua na mishe nyingine. Ila kwa mshahara tu aisee hapana aisee.mkuu mbona kuna watu wanalipwa 210,000 wanaishi Dar
au hatujui huko nyuma ya pazia?
Mkuu, kazi yangu ni moja tu ambayo ni Taxi DriverMkuu una kazi ngapi maana toka nikujue zinafika 20
Inawezekana ila nina watu nafahamu wanalipwa 180,000 kazini anaingia saa 1 asubuhi anatoka saa 12 jionWanakua na mishe nyingine. Ila kwa mshahara tu aisee hapana aisee.
Unamaanisha mboga za majani leo tembele kesho mchcha?Dah.....Mbona nyingi hizo?.....Unabadili hadi mboga maisha yanasonga.
210k, una familia, hivi unaishije serious....japo nami naishi ila sijui naishije 😂😂😂 nadhani huu ni muujiza tosha, sihitaji miujiza tena kwenye maisha yangumkuu mbona kuna watu wanalipwa 210,000 wanaishi Dar
au hatujui huko nyuma ya pazia?
Kuna siku nilikua naongea na mtu haya mambo ya kipato, akawa ananipigia hesabu kiukweli ni za kufikirika, eti sukari kwa mwezi kilo 1 hivi kilo moja ya sukari inakataje mwezi jamani kwenye familia?usitarajie kupata mchanganuo hapa,watakudanganya tu
mi nadhani ni kuishi kwa kiwango chako tu210k, una familia, hivi unaishije serious....japo nami naishi ila sijui naishije 😂😂😂 nadhani huu ni muujiza tosha, sihitaji miujiza tena kwenye maisha yangu
Aisee. Ila kweli watakua wameji-tune.inawezekana ila nina watu nafahamu wanalipwa 180,000 kazini anaingia saa 1 asubuhi anatoka saa 12 jion
hapo anaweza kufanya chochote kweli?
kazi za viwandani
40 kwa mwezi anko....wewe uncle huwezi ondoka mjini tena nina mpango wa kukuuzia karanga zilizochomwa vizuri kwa kila kilo moja 3500/- we ukifika nyumbani unapack tu maisha yendelee kwa kio hutakosa 2000 kwa wiki 5 una 10,000/- faida kwa mwezi 40,000/- inalipa maji ,umeme na gas.
maybe kama ni wale watu wasiotumia sukari jamanKuna siku nilikua naongea na mtu haya mambo ya kipato, akawa ananipigia hesabu kiukweli ni za kufikirika, eti sukari kwa mwezi kilo 1 hivi kilo moja ya sukari inakataje mwezi jamani kwenye familia?
Ndio zile hesabu za shamba unaweka milioni moja unalima unapanda unavuna faida unapata mil 13 ukitoa garama nyingine inabaki mkononi na m12
pengine alikuelezea kulingana na urefu wa kamba yake 😀Aisee. Ila kweli watakua wameji-tune.
Ila mimi nilivomaliza chuo nilipata kazi kwa wahindi nikiwa home mkoa, wakasema nije Dar nikaja wakasema 300,000 kwa mwezi. Niliona kubwa kwa ku compare na maisha ya mkoa. Ila nilipoelezwa na mtu, nikaona haitoshi aisee.
basi ndo hapo tofauti ilipo40 kwa mwezi anko....
Gas kwa mwezi ni 50000
Maji 50000 (hapa nimepunguza)
Umeme 30000
Nyingine najaziaje
maybe kama ni wale watu wasiotumia sukari jaman
pengine alikuelezea kulingana na urefu wa kamba yake 😀
Unapikia hiyo hiyo? Au unapikia ninibasi ndo hapo tofauti ilipo
mi gesi ya 50,000 nilinunua february mpaka leo ipo
gesi na multcooker basiUnapikia hiyo hiyo? Au unapikia nini
Ukiwa na mtoto mdogo sukari inakimbia kwenye uji tu 2kg kwa wikiHata kama hatumii yeye, kuna familia watoto unavojua chai asubuhi chai jioni