BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Mkuu zile nyuzi zako zilizojazwa Nondo huwa unapataje muda wa kuziandika kama ww ni tax driver?Mimi kama Taxi Driver kipato changu ni 250,000/= kwa mwezi na bado nipo Dar hii hii mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu zile nyuzi zako zilizojazwa Nondo huwa unapataje muda wa kuziandika kama ww ni tax driver?Mimi kama Taxi Driver kipato changu ni 250,000/= kwa mwezi na bado nipo Dar hii hii mkuu
yaah natumia hiyo ya 46,000-50,000Mmh Hornet feb to june....au unapikia ile mitungi XXXL😁
Mi kila mwezi nanunua gas hiyo ni lazima,
Taxi haina wateja wengi siku hizi kwa maana watu wanakodi bajaj hivyo muda mwingi nakuwa kijiweni tu na maselaMkuu zile nyuzi zako zilizojazwa Nondo huwa unapataje muda wa kuziandika kama ww ni tax driver?
inabidi utufundishe mbinuMshahara wangu ni sh 220,498.16/= Ila Nina mke mmoja na watoto wawili wa kiume na hapa naandika hii comment nimetoka kununua kilo moja ya nyama kwa sh 5000/= ,nimejenga kajumba ka 2 rooms na sebule,sijawahi lala njaa.
Ukubwa wa mshahara sio kipimo Cha maendeleo Bali ni mipango tu mkuu,pambana utatoka
uwe pia na utamaduni wa kuzimia kwenye mtungi huwa kunakiasi cha gas kinavujaUnapikia hiyo hiyo? Au unapikia nini
😂😂😂😂Biashara zote zinalipa ukiwa unasimuliwa..
Basi kipato kinawezekana kulingana na sehemu na sehemu, mi kwangu maji ya elf 5 ni ya siku tatu.kwangu natumia kiasi hicho ndo bili ninayolipa ila nimekuwa mpare kidogo
kwanza marufuku kutumia maji kabla hayajakingwa
vyombo havioshi na maji ya moja kwa moja bombani kwa kuwa kawaida yenu glass imetumika kwa kumpa mgeni mara moja lakini inaweza kuoshwa kwa glass tatu utaratibu huu wengi niliowafundisha wamepunguza gharama kwa zaidi ya 50% pia unapofungua maji fungua yatoke taratibu ili usiruhusu upepo uingie katika bill ya maji upo hapo
unasafiri kwa nini?MIMI ninaishi nao huo
Mke, mtoto na mimi tutakula 200,000 kwa mwezi
Mke na mtoto wana bima za afya kwa mwaka ambazo ninalipia 170000 (jumla kwa mwaka)
Mama kila mwezi ninamrushia 40,000
Pocket money yangu 30,000 kwa mwezi
Chumba nimepanga cha 35,000 ninatumia sola
Inayobaki ninasevu. Ila usiiige mkuu, ninaishi kiugumu sana hapo katikati lakini sijawahi kushindwa kabisa, sokoni nenda mwenyewe, na usipendelee kusafiri kwa daladala labda iwe lazima sana
Hata kama anko haiwezi kufika miezi miwiliuwe pia na utamaduni wa kuzimia kwenye mtungi huwa kunakiasi cha gas kinavuja
Kuna ambao hawana kipato kabisa na wanaishi piaHabari wadau..!
Ebu nisaidieni hivi kweli 310,000/= inatosha mtu kufanya kazi na kuishi DAR au unatakiwa kuwa na miundombinu mingine?
Unapoenda kununua gas hakikisha unaipima uzito unapata kamili kulingana Na size ya mtungi wakoyaah natumia hiyo ya 46,000-50,000
niliwahi kununua gas tarehe mbili nov ikaisha tar 2 december
nililalamika nikamuhama na huyo muuzaji
kwangu inakaa mpaka miezi sita
vya kuchemsha vinaingia kwenye mult cooker vya kukaanga kwenye ges
sijui wanawezaje jamaniKuna mzazi mmoja alikua analipwa mshahara 180,000 na inatosha majukumu ya kifamilia yote pamoja na kusomesha shule na chakula!
kama ni maji ya kununua sawa lakini hapo nauhakika hulipi kodi ya nyumbaBasi kipato kinawezekana kulingana na sehemu na sehemu, mi kwangu maji ya elf 5 ni ya siku tatu.
Huko mbali, watu wanalipwa 120,000 wanaishi na wanafamiliaInatosha kabisa. Cha muhimu nidhamu ya pesa tu
Wengine wana mshahara wa laki 2 na wanaishi
Labda nami nijaribu kuswitch kwenye multcooker nimejaribu kupikia maharage dk 45 umeme hata unit 1 haikuishayaah natumia hiyo ya 46,000-50,000
niliwahi kununua gas tarehe mbili nov ikaisha tar 2 december
nililalamika nikamuhama na huyo muuzaji
kwangu inakaa mpaka miezi sita
vya kuchemsha vinaingia kwenye mult cooker vya kukaanga kwenye ges
kabisa mkuuUnapoenda kununua gas hakikisha unaipima uzito unapata kamili kulingana Na size ya mtungi wako
Amininakwambia, kadri kipato chako kinavyokua ndio matumizi yako yanaongezeka pia!sijui wanawezaje jamani
utakuwa msabato wewe hata soda hunywiMIMI ninaishi nao huo
Mke, mtoto na mimi tutakula 200,000 kwa mwezi
Mke na mtoto wana bima za afya kwa mwaka ambazo ninalipia 170000 (jumla kwa mwaka)
Mama kila mwezi ninamrushia 40,000
Pocket money yangu 30,000 kwa mwezi
Chumba nimepanga cha 35,000 ninatumia sola
Inayobaki ninasevu. Ila usiiige mkuu, ninaishi kiugumu sana hapo katikati lakini sijawahi kushindwa kabisa, sokoni nenda mwenyewe, na usipendelee kusafiri kwa daladala labda iwe lazima sana