Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
uncle mi mbishi acha kabisa! shughuli zangu ni za kuunga kuna muda napata kazi za maana na kuna kipindi sina kazi sasa lazima niishi kwa ubishiHata kama anko haiwezi kufika miezi miwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uncle mi mbishi acha kabisa! shughuli zangu ni za kuunga kuna muda napata kazi za maana na kuna kipindi sina kazi sasa lazima niishi kwa ubishiHata kama anko haiwezi kufika miezi miwili
hizo ni anasa mkuu, hazina maanautakuwa msabato wewe hata soda hunywi
Na kodi nalipa, mi sina nyumba anko nadhani ndio mwanajf pekee nisie na nyumba 😂😂😂 nijengewe sanamukama ni maji ya kununua sawa lakini hapo nauhakika hulipi kodi ya nyumba
Kuna mchezo huwa unafanywa na wanaohusika kusambaza izo gas wanaweka nusu ya uzito unaotakiwa katika mtungi husika.wanaamini mteja hawezi ulizia swala la uzito kamili wa gas!kabisa mkuu
kuna wakati unaweza kudhani ni matumizi makubwa kumbe ujazo pia
Ntakuja kushinda pm kwako unipe huo ubishi ankal kabla sijarudi kwetu.uncle mi mbishi acha kabisa! shughuli zangu ni za kuunga kuna muda napata kazi za maana na kuna kipindi sina kazi sasa lazima niishi kwa ubishi
haili umeme kihivyoLabda nami nijaribu kuswitch kwenye multcooker nimejaribu kupikia maharage dk 45 umeme hata unit 1 haikuisha
kwa mfano umeme wa mwezi mzima nishatafuta mteja anyelipa kwa kumchomea karanga kilo tano kila wiki kwa kila kilo 1000/-uncle mi mbishi acha kabisa! shughuli zangu ni za kuunga kuna muda napata kazi za maana na kuna kipindi sina kazi sasa lazima niishi kwa ubishi
karibu mchele nanunua mpunga gunia halizidi 60,000/- ukikoboa unapata kilo 55 mpaka 52 zikipungua unatosha sana mwaka mzimaNtakuja kushinda pm kwako unipe huo ubishi ankal kabla sijarudi kwetu.
😂😂😂😂😂hizo ni anasa mkuu, hazina maana
Ishu kubwa hapo ni matumizi, inaweza ikawa inatosha au isitoshe kulingana na matumizi and lifestylesometimes huwa nahisi watu wengi waliopo Jf sijui ni wasomi na middle class tu
Hivi mtu anaeishi kwenye chumba cha giza kwa 15k - 20k huyu anaingiza sh ngapi..
wanaofanya kazi kwenye viwanda na wanalipwa 150k wanaishije
wanaouza maji ya kandoro wana uwezo wa kufikisha 300k per month
hawa bodaboda wanaokabidhiwa pikipiki wanaweza kutimiza 300k kirahisi
wanaofanya kazi kwenye maduka ya wahindi au house girls wanalipwa hata hiyo laki mbili.. wanaishije na wengine unakuta wana watoto
watu wengi wa uswazi hiyo pesa ni kubwa sana maana ukifikiria ugali tembele na dagaa mchele, maandazi na mihogo ya mia. sometimes milo miwili kwa siku mbona maisha yanaenda
basi ndo hapo tofauti ilipo
mi gesi ya 50,000 nilinunua february mpaka leo ipo
😂😂😂😂😂😂 mlo mmoja tu duuhUnaweza, kwa masharti yafuatayo:-
1. Hutakuwa na akiba yoyote ile
2. Utaishi vyumba viwili cha giza kwa 40,000 kila kimoja kwa mwezi -
3. Utapanda gari moja tu kwenda na kurudi kazini - kama utatakiwa kuunganisha basi itabidi utembee kwa mguu
4. Utakula mlo mmoja tu jioni - na chakula chako kisizidi Tshs 5,000 pamoja na familia yako
5. Hutatakiwa kutumia gharama nyingine yoyote ile zaidi ya hapo juu
6. Hutakuwa na akiba yoyote ile, mavazi utavaa mitumba na kwa mwezi familia nzima manunuzi yasizidi 30,000.
Ukiwa na mtoto mdogo sukari inakimbia kwenye uji tu 2kg kwa wiki
kwa taarifa yako bodaboda wanakipato kikubwa kupita watu wengi na ili waweze kupata kipato kikubwa wanatakiwa wafanye wafuatayo:-hawa bodaboda wanaokabidhiwa pikipiki wanaweza kutimiza 300k kirahisi
Tatizo msharaha ni fixed ,ukitilea mfano bodaboda ,muuza kandoro unakosea sana.Kuna bodaboda anaishi nyumba ya 150k muuza kandoro anakwambia kwa siku anaondoka na mpk 30k faida sometime inategemea na hali ya hewa (jua).sometimes huwa nahisi watu wengi waliopo Jf sijui ni wasomi na middle class tu