TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Mkuu una kazi ngapi maana toka nikujue zinafika 20Mimi kama Taxi Driver kipato changu ni 200,000/= kwa mwezi na bado nipo Dar hii hii mkuu
Kuu mbona kuna watu wanalipwa 210,000 wanaishi Dar au hatujui huko nyuma ya pazia?Tuache unafiki, hauchomoi.
Huo sio mshahara boss ni kipato,siku mzungu akijichanganya kipato kinabadilikaππππMimi kama Taxi Driver kipato changu ni 200,000/= kwa mwezi na bado nipo Dar hii hii mkuu
ππππ vizinga vya nduguinawezekana mkuu japo inabidi usishi kwa kiwango chako
pia inategemea kama unawategemezi
Wewe uncle huwezi ondoka mjini tena nina mpango wa kukuuzia karanga zilizochomwa vizuri kwa kila kilo moja 3500/- we ukifika nyumbani unapack tu maisha yendelee kwa kio hutakosa 2000 kwa wiki 5 una 10,000/- faida kwa mwezi 40,000/- inalipa maji ,umeme na gas.Mnaoishi tunaomba mchanganuo jamani mnaishi vipi, make mi naona dalili za kaurudi kwetu....
Usitarajie kupata mchanganuo hapa,watakudanganya tuMnaoishi tunaomba mchanganuo jamani mnaishi vipi, make mi naona dalili za kaurudi kwetu.
Usiwaambie kama umepata kazi wakikuuliza vipi unawatangazia njaa ikiwezekana piga simu kwa ndugu ukope 10,000 wataacha kukusumbuaππππ vizinga vya ndugu