Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Na unabahat ulikuwa unakula ngumi ya uso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] umenikumbusha kwenye daladala leo nimemgusa mbaba huyo bahati mbaya dah kanikata jicho la hasira hilo [emoji119]
Amen. Thanks friendKweli kabisa mkuu! Ipo siku mambo yatakaa fresh tu π
Wee nnavojua kupanic ningemrudishia na mimiππ ila 200k ni ndogo ila ndiyo hivo mkuu inatosha unajibana sanaaNa unabahat ulikuwa unakula ngumi ya uso [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa dsm 200k kwa mwezi huwezi kuishi ,hata uwe bahili namna gani jaman tuache uongo ,hiyo pesa labda uwe bachelor ,tena usiwe na demu ...
Mengine ni kujidanganya tu kwenye keyboard tu....
Maharage pikia kwenye chupa ya chai zile zenye mfuniko wa mbao, unaweka Asubuhi jioni yanakuwa yameiva au usiku kesho Asubuhi yameiva.Labda nami nijaribu kuswitch kwenye multcooker nimejaribu kupikia maharage dk 45 umeme hata unit 1 haikuisha
Wapiga debe,wamachinga,mafundi viatu, wauza bendera kwenye foleni wao wanapata sh ngapi mbona bado wapo darTuache unafiki, hauchomoi.
[emoji23][emoji23][emoji23]ntakusaidia kutengeneza odd ya 1.5kila siku asbh ushinde ishirini elf na sintokutoza hata elfu 1 pole sana
kwangu natumia kiasi hicho ndo bili ninayolipa ila nimekuwa mpare kidogo
kwanza marufuku kutumia maji kabla hayajakingwa
vyombo havioshi na maji ya moja kwa moja bombani kwa kuwa kawaida yenu glass imetumika kwa kumpa mgeni mara moja lakini inaweza kuoshwa kwa glass tatu utaratibu huu wengi niliowafundisha wamepunguza gharama kwa zaidi ya 50% pia unapofungua maji fungua yatoke taratibu ili usiruhusu upepo uingie katika bill ya maji upo hapo
Uharibifu wa fedha huoMaji 50000 umeme 30000[emoji848]
Nahtaj huo msaada plizntakusaidia kutengeneza odd ya 1.5kila siku asbh ushinde ishirini elf na sintokutoza hata elfu 1 pole sana
πππ210K buguruni unapata double room kwa 70K inayobaki maji na umeme plus chakula maisha yanasogea
Itakuwa una familia kubwaNdio.....
Umenigusa au umenikanyaga?!! Siku ingine kuwa makini.π umenikumbusha kwenye daladala leo nimemgusa mbaba huyo bahati mbaya dah kanikata jicho la hasira hilo π
Unaishi vizuri sana. Inategemea wewe unataka kuishi vipi!!! Ukitaka kuishi kianasa hutaweza.Habari wadau!
Ebu nisaidieni hivi kweli 310,000/= inatosha mtu kufanya kazi na kuishi DAR au unatakiwa kuwa na miundombinu mingine?
ππ sasa ndiyo uniangalie kwa hasira vile jamani? Hujui bahati mbaya wewe, alafu nahisi kama ni wewe kweli yuleπ€Umenigusa au umenikanyaga?!! Siku ingine kuwa makini.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Tumefanana mkuu[emoji122][emoji122]Ndio maana mimi nikipataga mshahara huwa nausafisha nusu nzima bar kwa siku 2 tatu halafu mambo mengine yaendelee. Ukisema uanze kuupigia hesabu unakuta zinagoma zinagoma.