Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #341
Mbona sikuelewi???Swali langu limelenga kutaka kujua kama wewe unamjua Mungu Krishna? Kumbuka tulichokuwa tunajadili ni hili neno "kujua". Sasa kama ulikuwa unamjua na ulikuwa unamtaja kwanini hukusema unamjua nilipokuuliza?
Swali lako limelenga namna ambavyo Mungu Krishna amekuwa defined na simulizi zake.
Nimekupa nukuu kutoka kwenye vyanzo vya simulizi zake.
Baada ya hapo sijui hujawa satisfied na hiyo definition au kuna hoja gani ambayo ulitaka kui propose kupitia hiyo definition niliyokupa?