Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mungu krishna unamjua?Dhidi ya madai yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu krishna unamjua?Dhidi ya madai yeyote
Ni moja ya spiritual being inaysadikika ina nguvu, ya Wahindi.Mungu krishna unamjua?
Ndio.Kuwa na uhakika ni kutokuwa na mashaka,si ndivyo?
Watu kama wewe wamesababisha matatizo makubwa sana duniani mfano Shakahola.Jesus is here on earth physically
kwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman
Kwa sababu amekupa akili. Wewe ndio unatakiwa kutumia akili yako kuwaza/ kuamini kwamba yupo au hayupoKujua ni bora zaidi kuliko kuamini.
Kwa nini huyo Mungu ajifiche na aachie watu wakisie uwepo wake ilhali angeweza tu kujitokeza na wote tukamjua?
Sasa kwa wewe unavyoelewa mashaka husababishwa na kutokuwa na uthibitisho?Ndio.
Kwahiyo Krishna humjui ila unajua simulizi za kuhusu Krishna kwa maana unazijua simulizi za kitu ambacho hukijui?Nazijua simulizi zake kama ambavyo nazijua simulizi za Spiderman, Allah, Yahwe, Jesus, Harry potter, Unicorn nk.
Kumjua kama yupo au kumjua jina?Kwahiyo Krishna humjui ila unajua simulizi za kuhusu Krishna kwa maana unazijua simulizi za kitu ambacho hukijui?
Ndio.Sasa kwa wewe unavyoelewa mashaka husababishwa na kutokuwa na uthibitisho?
Kumjua kwa maana ya kumuelewa ni nani, mambo ya simulizi hata Samia suluhu Hassan anaweza kusimulia simulizi za maisha yake na watu wakasema wanajua simulizi za Samia suluhu.Kumjua kama yupo au kumjua jina?
Kwasababu kunaweza kuwepo na simulizi ambazo zinaishia tu kujua jina la character ili kuweka mtiririko mzuri wa stori ya kuweza kutofautisha character mmoja na character mwingine hali ya kuwa huyo/hao character hayupo/hawapo kihalisia.
Kwa hiyo unaposema Krishna simjui unakuwa unakusudia simjui kwa muktadha upi?
Muktadha wa jina lake au muktadha wa uhalisia wake?
Ubaya binaadamu si sawa na mbuzi na ndio maana hata ukiacha habari za Mungu bado binaadamu hupatwa stress kutokana sababu mbalimbali kwenye experience yake ya maisha tofauti na mbuzi.Profesa Thomas Henry Huxley wa Cambridge University katika tasnifu yake ya 'agnostism' alisema:'human being cannot know things that are beyond his own experience'.Hivyo habari za Mungu utazisikia lakini akili haitazipa muda kuzichakata kama aishivyo mbuzi.Taarifa za Mungu zinaogofya na kukufanya ukose amani na hata ukiziamini utatembea na hofu ya Mungu na hivyo ni heri kutoziamini ni furaha sana.
Unasema kama huna uhakika na uthibitisho nacho, kama uhakika huletwa na uthibitisho kwanini tena useme kukosa uhakika na uthibitisho hufanya kuwa na mashaka?Ndio.
Kitu kama huna uhakika na uthibitisho nacho, Ndio utakuwa na mashaka nacho.
Bado hujafafanua vya kutosha kuondoa utataKumjua kwa maana ya kumuelewa ni nani, mambo ya simulizi hata Samia suluhu Hassan anaweza kusimulia simulizi za maisha yake na watu wakasema wanajua simulizi za Samia suluhu.
Mfano umemtaja spiderman ambapo unaweza kumuelezea huyo spiderman kama hivi:
Spider-Man is a teenager who gains his powers by a radioactive spider by biting him and injecting its DNA into Peter’s. To put it simply, he is a regular high school kid who gets bitten by a unique spider. The spider then grants him super powers to shoot webs, and spider-sense. It also grants him the power to be physically strong and jump really high.
Mimi sijauliza kuhusu masimulizi yake wala kuhusu uhalisia wake na ndio maana nikakupa maelezo yenye kumuelezea Spiderman ni nani na nikasema kuwa hata Samia suluhu hassan anaweza kuwa na simulizi kuhusu maisha yake pia.Bado hujafafanua vya kutosha kuondoa utata
Unaposema "kumjua kwa maana ya kumuelewa ni nani" nashindwa kuelewa ni kipi hapo unakuwa ume maanisha.
Unakuwa umemaanisha nini kati ya hivi vitu viwili
Lakini kama nimeuelewa mfano wako wa Spiderman basi nafikiri kuwa umehitaji kupewa definition ya Krishna kwa namna ambavyo ameelezewa kwenye masimulizi yake.
- Yani kumjua na kumuelewa kwa namna alivyosimuliwa kwenye simulizi?
- Au kumjua na kumuelewa kwa kui-relate simulizi yake na uhalisia?
Mungu Krishna ni nani?
Krishna ni mungu wa Kihindu anayeheshimiwa sana na kuabudiwa na mamilioni ya watu duniani kote. Yeye ni mmoja wa miungu maarufu katika dini ya Kihindu na anachukuliwa kuwa ni avatar ya Mungu Vishnu. Krishna anajulikana kwa hekima yake, nguvu zake, na upendo wake kwa wanadamu.
Samia Suluhu ni raisi huyu anaelezeka nje hata ya simulizi zake. Sihitaji kusoma simulizi ili nijue Samia ni nani kwasababu huyu anathibitika yupo.Mimi sijauliza kuhusu masimulizi yake wala kuhusu uhalisia wake na ndio maana nikakupa maelezo yenye kumuelezea Spiderman ni nani na nikasema kuwa hata Samia suluhu hassan anaweza kuwa na simulizi kuhusu maisha yake pia.
Umemueleze vizuri mungu Krishna kwa unavyomjua.
Nimekuuliza unamjua Mungu Krishna? Badala ujibu nilichouliza kama unamjua au humjui unaenda kuniambia unajua simulizi zake. Lengo langu ni kuonyesha kuwa kujua hakujalishi hicho unachojua ni kweli ama si kweli, kipo au hakipo.Samia Suluhu ni raisi huyu anaelezeka nje hata ya simulizi zake. Sihitaji kusoma simulizi ili nijue Samia ni nani kwasababu huyu anathibitika yupo.
Kwa hiyo wewe shida yako ulitaka kupewa tu definition kwa jinsi Krishna alivyoelezewa huko nilikozisikia simulizi zake bila kujalisha kama ni za kweli au uongo??
Na mimi nimekupa hiyo nukuu niliyoitoa kwenye vyanzo ambavyo vimesimulia habari zake huyo Krishna.
Lengo lako lilikuwa ni nini hasa, uki-refer na hoja a mbayo tulikuwa tunaijadili?
Sasa kama swali lako lililenga definition halikuegemea katika muktadha wa kumjua Krishna kiuhalisia, basi hakuna mantiki kwenye swali lako.Nimekuuliza unamjua Mungu Krishna? Badala ujibu nilichouliza kama unamjua au humjui unaenda kuniambia unajua simulizi zake. Lengo langu ni kuonyesha kuwa kujua hakujalishi hicho unachojua ni kweli ama si kweli, kipo au hakipo.
Sasa wewe umekwepa kusema unamjua Mungu krishna kwa kudhani kusema unamjua itafanya ionekane Krishna yupo kiuhalisia matokeo yake ukashikilia kusema unajua simulizi zake kuonyesha ni habari za uongo.
Swali langu limelenga kutaka kujua kama wewe unamjua Mungu Krishna? Kumbuka tulichokuwa tunajadili ni hili neno "kujua". Sasa kama ulikuwa unamjua na ulikuwa unamtaja kwanini hukusema unamjua nilipokuuliza?Sasa kama swali lako lililenga definition halikuegemea katika muktadha wa kumjua Krishna kiuhalisia, basi hakuna mantiki kwenye swali lako.
Kwasababu kwenye huu mjadala jina Krishna nimelitaja kabla hata ya wewe kuniuliza swali lako la Krishna namjua.
Ndio maana mwishoni nimekuuliza what's your point uliyokusudia kuijenga kufuatia swali lako kwasababu sioni motive yake.