Mbona sikuelewi???Swali langu limelenga kutaka kujua kama wewe unamjua Mungu Krishna? Kumbuka tulichokuwa tunajadili ni hili neno "kujua". Sasa kama ulikuwa unamjua na ulikuwa unamtaja kwanini hukusema unamjua nilipokuuliza?
Kwanini simulizi zake? Yani kwa nini swali nililokuuliza umelipeleka kwenye simulizi?Mbona sikuelewi???
Swali lako limelenga namna ambavyo Mungu Krishna amekuwa defined na simulizi zake.
Nimekupa nukuu kutoka kwenye vyanzo vya simulizi zake.
Baada ya hapo sijui hujawa satisfied na hiyo definition au kuna hoja gani ambayo ulitaka kui propose kupitia hiyo definition niliyokupa?
Nilichokiuliza ni kwamba unamjua Mungu Krishna? Swali langu nilitaka kufahamu wewe unamjua huyo Krishna ambapo ungenijibu namjua au simjui.Kwasababu unachokiuliza kinatoka kwenye simulizi
Au wewe una majibu mengine ambayo unaweza kuyatoa nje na hapo??
Na baadaye ukaja kufafanua swali lako kwa kutoa definition ya Spiderman ambayo mimi nilipoichunguza nikabaini umeitoa kwenye vyanzo ambavyo vimeelezea simulizi zake.Nilichokiuliza ni kwamba unamjua Mungu Krishna? Swali langu nilitaka kufahamu wewe unamjua huyo Krishna ambapo ungenijibu namjua au simjui.
Halafu kuna sehemu umetaja hadi idadi ya watu wenye kuabudu Mungu Krishna sasa sijajua nayo ni sehemu ya masimulizi au vp.
Mimi namjua spiderman na ndio maana nikatumia hayo maelezo kumuelezea huyo spiderman ambaye mie namjua.Na baadaye ukaja kufafanua swali lako kwa kutoa definition ya Spiderman ambayo mimi nilipoichunguza nikabaini umeitoa kwenye vyanzo ambavyo vimeelezea simulizi zake.
Hapo ndio nikajua concept ya swali lako limelenga kupewa majibu gani.
Nikafanya hivyo hivyo na mimi kwa kutoa nukuu kutoka kwenye vyanzo ambavyo vimesimulia hadithi za Krishna.
Point ya msingi namjua iwe kupitia comic books au filamu.Umemjulia wapi?