Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Tabia ya mtu inategemea vitu vingi alivyopitia maishani wapo baadhi ya Single father's wako vizuri kabisa na wapo wa ovyo kwa hio hatuwezi kuleta experience katika maisha ya mtu ,kwakuwa wamependana waache waenjoy
 
Mimi tangu nimejunza kwamba mapenzi sio suala la kulipa kipaumbele na kulichukulia siriaz maisha yangu yamekua ya amani na progress ya maendeleo yangu naiona
 
wanau

Wanaume hatusemagi hivyo,wanawake ndio sana,kwa mwanaume labda awe punguwani,

kabila gani hili mkuu,na pole kwa maswahibu,eh,watoto wana mkana baba ?watu mnapita mazito jamani,atakuwa mchaga huyo maana ndio mbanga zao hizo
Tembea uone Kaka ,Kuna kakabila kadogo nadh
Mimi tangu nimejunza kwamba mapenzi sio suala la kulipa kipaumbele na kulichukulia siriaz maisha yangu yamekua ya amani na progress ya maendeleo yangu naiona
Hongera mdogo wangu ,Tuendeleze mapambano
 
Hii imeenda sis
Umeidadavua vyema sana nimepata point
Hiz trauma ni mbaya sana hasa mtu akiingia nazo kwenye ndoa mpya ni changamoto Sana naona bas wengi walioolewa na ndoa za aina hii,maumivu Yao htokana na wenza wao kutomaliza trauma zao za ndoa zao za nyuma
 
Tabia ya mtu inategemea vitu vingi alivyopitia maishani wapo baadhi ya Single father's wako vizuri kabisa na wapo wa ovyo kwa hio hatuwezi kuleta experience katika maisha ya mtu ,kwakuwa wamependana waache waenjoy
Nilitaka kufahamu hiz situation zinakuaje mimi pia ndio kinara wa kwanza kubembeleza amuelewe mumewe nafurahi kuwaona wakiwa pamoja
Lengo Lilikuwa ni kutaka kufahamu tu inakuwaje hii
 
It depends kwa maana ya experience aloipata kule alikokuwa,mtazamo wake ukoje baada yakutoka,mfano kuna wanaume wenye kuropoka Kwa mke mpya Kama kusema yule alikuwa hivi au vile tena kwa kumsifia kwa huyu mpya,kitu ambacho si kizuri hata kidogo!!,hayo yapo hata kwa wanawake waloachika au kufiwa na walokuwa wame zao,tabia mbaya sana hii!!,inapelelea ndoa mpya kukosa radha itakiwayo,ugomvi nk,haifai kujilinganisha na mwingine maana watu hatufanani ati,, mwenzako anaweza kkuona ovyo!!,sio sifa kusema hayo usemayo.
 
Kabisa yaani hii ni changamoto unaangalia madhaifu ya mwingine Ili kumlinganisha na mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…