Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Mno mkuu tako lote kwisha now anapigwa matukio tu na kina mariooo wa mjiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani Mkuu we acha tu. Kuna Manzi fulani naye kapigwa tukio hapa kitaa alikuwa wa maana sana Made in Singapore alimletea uhuni Kijana wa Kitanga. Aisee kachakazwa with 2 Kids hana ishu anacheza Dubwi tu. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mimi niliwahi sikia ugumu huwa unakuwepo zaidi kwa mgane/mjane, sababu wengi wenza wao wameondoka wakiwa bado wanapendana kwa dhati, hawakuwa na mpango wa kuachana ila ndiyo hivyo wakatangulia mbele za haki,

hasa ukute wameachiwa watoto, inahitajika mno uvumilivu wa hali ya juu kuishi nao, kuwachukulia na kuwaelewa..!!
 
Yaani Mkuu we acha tu. Kuna Manzi fulani naye kapigwa tukio hapa kitaa alikuwa wa maana sana Made in Singapore alimletea uhuni Kijana wa Kitanga. Aisee kachakazwa with 2 Kids hana ishu anacheza Dubwi tu. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Sasa hivi ubaya ubwele ukija ki master mwenzio anakuja ki ninja , akitulia myajenge maisha mbona fresh tuπŸ€—
 
Hiyo ni kidogo mbona apo nyuma mimi niliondoka na shati moja tu la mistari ya pundamilia πŸ˜‚
Ndio maana nasema Mwanamume ku sort mambo ni easy kuna Mbwa fulani mwaka 2014 alikimbia na laptop yangu sasa hivi yupo tu kaharibika maana amechezea sana mikia ya Wahuni.
 
Babu hii changamoto ya wengi unaweza Kuta unampenda sana mumeo kumbe yeye anampenda mke wa zamani

Ishu ya malezi nayo kama ni changamoto
Mm sio Babu nilivo dhaifu nitakufa mapema mm nitafutie new model mjukuu wako niienjoy πŸ˜€
Ukiona unampenda Mumeo halafu yeye anampenda Mke wa zamani, itakuwa Kuna sehemu unamkosea.

Itakuwa Kuna vitu anavikosa kwako, ndiyo maana anapata muda wa kumfikiria wa zamani.

Hadi kufikia Jana, tulipokea Posa 12 kwaajili yako.

Tutakaa kuzichambua Kwa kuzingatia vigezo na masharti uliyoyasema πŸ€—
 
Back
Top Bottom