The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Tangu awali imeandikwa na kushauriwa watu wote mume na Mke wakutane wote wakiwa hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.
Anawezakuwa haijawahi kuoa au kuwa mwenye ndoa lakini ameshakua kwenye mahusiano na wanawake kadhaa. Huyo unamuweka kundi Gani?
Nnachosema ni kwamba, Kila kitu kina faida na hasara, mwenye kuwahi kuishi na mwanamke anawezakuwa na uzoefu na kiwango Cha ukomavu na asiwe na baadhi kero ndogondogo.
Kwa upande mwingine kumbukumbu za Mke wa awali zinaweza kuwa mwiba kwenye mahusiano Kwa maana ya kulinganisha.
Kikubwa ni nyie wahusika mnaiva na kuendana Kwa kiasi gani. Mnaweza kuitengeneza maisha yasiyotegemea mahusiano yoyote ya awali.