Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Hakuna formula dada maakuli, oa au olewa na mtu sahihi, aliyekupangia mola. Sema sikuhizi tunajifungisha ndoa mkeka wenyewe kwanza, baadae ndo tunazirasimisha na kuhalalisha. Only if tungemsikilizaga Mungu na kujiepusha na zinaa, yote haya yasingekuwapo.
Ni kweli tumekengeuka ila
Wapo walioona kabisa na ndoa zikavunjika ndio Hawa tunaozungumzia
 
Hapo uhakika, nitajua namna ya kumshawishi Mjukuu 😜
images (43).jpeg

Tutashinda tu 🤣🤣🤣
 
Kwa kiwango gani mkuu hakuna mkamilifu
Hebu wekeni mbinu hapa

Na haitatokea watu tukafanana hata siku moja. Mimi binafsi nna mazuri yangu ambayo huenda asiwepo mwingine aliyenayo lakini pia nna set ya mabaya yangu mengi tu hauwezi kuyapata Kwa mwingine.

Sasa hapo ndio hua tunaangalia yapu yanazidi, wewe unahitaji kitu Gani na Je, utaweza kumudu hayo madhaifu machache ya mwenza wako?
 
Back
Top Bottom