ππMbna kutagaDah kwa sasa siwezi kupanic kabisa yalishapita hayo, yeye kama mama wa mwanangu akikwama namsadia tu, sema kurudiana ndio atataga yai la bata , nilishanywesha mpka maji ya kwa mwamposa lakini wapiππππ
Tatizo nina kibamia....wao wanataka bilinganyaπ€£π€£π€£Sio team dronedrake ? π€£π€£π€£
acha maisha yaendeleeMalaya lililokubuhu ila naendelea kujipa kazi ya kumtoa moyoni yule mdada bado imekuwa kazi Sana ila ni paka shume kabisa .
Ogopa sana unapigwa matukio na mke then mama mkwe anasapoti , unaenda ustawi wa jamii unakutana na single maza wa haki za wanawake , nyuma yako inakuja timu ya wadada kama sita wamepigilia madera sijui mnaita vijoraππ€π€ππ
Bottom line mahusiano kwa sasa hayawezi kjwa shwari maana wahusika wanakuwa na emotions attached kwengineTangu awali imeandikwa na kushauriwa watu wote mume na Mke wakutane wote wakiwa hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.
Anawezakuwa haijawahi kuoa au kuwa mwenye ndoa lakini ameshakua kwenye mahusiano na wanawake kadhaa. Huyo unamuweka kundi Gani?
Nnachosema ni kwamba, Kila kitu kina faida na hasara, mwenye kuwahi kuishi na mwanamke anawezakuwa na uzoefu na kiwango Cha ukomavu na asiwe na baadhi kero ndogondogo.
Kwa upande mwingine kumbukumbu za Mke wa awali zinaweza kuwa mwiba kwenye mahusiano Kwa maana ya kulinganisha.
Kikubwa ni nyie wahusika mnaiva na kuendana Kwa kiasi gani. Mnaweza kuitengeneza maisha yasiyotegemea mahusiano yoyote ya awali.
Imekaa poa sanaTangu awali imeandikwa na kushauriwa watu wote mume na Mke wakutane wote wakiwa hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.
Anawezakuwa haijawahi kuoa au kuwa mwenye ndoa lakini ameshakua kwenye mahusiano na wanawake kadhaa. Huyo unamuweka kundi Gani?
Nnachosema ni kwamba, Kila kitu kina faida na hasara, mwenye kuwahi kuishi na mwanamke anawezakuwa na uzoefu na kiwango Cha ukomavu na asiwe na baadhi kero ndogondogo.
Kwa upande mwingine kumbukumbu za Mke wa awali zinaweza kuwa mwiba kwenye mahusiano Kwa maana ya kulinganisha.
Kikubwa ni nyie wahusika mnaiva na kuendana Kwa kiasi gani. Mnaweza kuitengeneza maisha yasiyotegemea mahusiano yoyote ya awali.
Hapo uhakikaChapchap mpaka saa 23:59 leo nitakuwa nisha submit π
Kunamtu nikimwambia nataka nisome mambo ya ustaw wa jamii nina wito kusaidia watu akanambia utaalaniwa Yani achana na hayo mambo ππOgopa sana unapigwa matukio na mke then mama mkwe anasapoti , unaenda ustawi wa jamii unakutana na single maza wa haki za wanawake , nyuma yako inakuja timu ya wadada kama sita wamepigilia madera sijui mnaita vijoraππ€π€
Hahahaha hadi sisi tukataliwe tena mkuu?Kataa single Faza, Kataa single Maza.
Kataa mwanaume aliyewahi kuoa, Kataa mwanamke aliyewahi kuolewa.
Kazi ni kazi tu ila kule hakuna haki kwa mwanaume kabisa ,watu wanatumia hisia zaidi kufanya maamuziKunamtu nikimwambia nataka nisome mambo ya ustaw wa jamii nina wito kusaidia watu akanambia utaalaniwa Yani achana na hayo mambo ππ
Siku watu wakigundua kwenye ndoa hakuna malaika ambao tunaelezwa kuwa ni wakamilifu bali ni binaadamu ambao siyo wakamilifu naamini migogoro mingi itapungua!Kuna ile tendency ya kufanya ulinganisho.
Exactly π―Siku watu wakigundua kwenye ndoa hakuna malaika ambao tunaelezwa kuwa ni wakamilifu bali ni binaadamu ambao siyo wakamilifu naamini migogoro mingi itapungua!
Ukweli: Zunguka dunia nzima hutampata mume/mke aliyekamilika!
Ushauri: Kabla hujaoa/kuolewa jiulize: Je, kwa haya madhaifu yangu yupo wa kuyakabili?? Je,kwa haya madhaifu yake nitaweza kuyakabili??
Mwisho:Uvumilivu na kuheshimu hayo madhaifu itakuwa silaha kuu kwenye ndoa!
Ila Hawa wa ustaw wameshindikanaKazi ni kazi tu ila kule hakuna haki kwa mwanaume kabisa ,watu wanatumia hisia zaidi kufanya maamuzi
Kila mwanaume ana kipimo chake, na ukiona mwanaume matured kaamua kukuoa jua umekidhi viwango vyake, sasa kamatia hapo usiyumbe.Kwa kiwango gani mkuu hakuna mkamilifu
Hebu wekeni mbinu hapa