Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Haujui chochote kuhusu masuala ya kitabibu.. Magonjwa yanayohusu Moyo huwa ni anytime unaondoka hata kama ulikuwa mzima wa afya sekunde 2 nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unaamini tarehe kama ya leo alikuwa mzima bukheri wa afya,poleeHaujui chochote kuhusu masuala ya kitabibu.. Magonjwa yanayohusu Moto huwa ni anytime unaondoka hata kama ulikuwa mzima wa afya sekunde 2 nyuma
Huna ujualoKwa hiyo unaamini tarehe kama ya leo alikuwa mzima bukheri wa afya,polee
Kabisaa mkuu sijui nidadavulieHuna ujualo
Atakuwa kadanganywa na yeye akadanganya hivyo sio kosa lake ni amekoseshwa ila baada ya kujua alikoseshwa, na baada ya kuujua ukweli halisi wa kilichotokea tarehe 12 Machi, alipaswa kuomba radhi kwa ku apologise or just say sorry.Kuna wimbo wa Lucky Dube siukumbuki jina ila kuna verse wanaimba Thank you father for making politician lie to us.
Nikambuka kuna mmoja akiwa sehemu takatifu macho makavu kuwa jamaa yuko fit ofisini anachapa kazi,
Wanasiasa hamuendi mbinguni
Bro pascal viongozi wetu wameshatugeuza misukule wanajua hatuwezi kuwafanya kituAtakuwa kadanganywa na yeye akadanganya hivyo sio kosa lake ni amekoseshwa ila baada ya kujua alikoseshwa, alipaswa kuomba radhi kwa ku apologise or just say sorry.
Kitendo cha kusema uongo mchana kweupe tena kwenye kadamnasi ya watu na ukajua ulisema uongo mkubwa vile, nchi za wenzetu ni unawajibika!.
Kitendo cha kutoomba radhi ni dharau kubwa kuwa wote wale anawaona ni majuha hawastahili kuombwa radhi.
P
Sawa daktariHaujui chochote kuhusu masuala ya kitabibu.. Magonjwa yanayohusu Moyo huwa ni anytime unaondoka hata kama ulikuwa mzima wa afya sekunde 2 nyuma
Alikufa kwa complications za COVID zilizosababisha tatizo la moyo kuwa kubwa zaidi. Ikumbukwe tatizo la moyo alikuwa nalo tangu akiwa mwanafunzi UDSM. Ilichukua muda kutangaza kwani kulikuwa na mambo mengi ya kuweka sawa kati ya viongozi wa serikali na hasa wale wa mtandao wake uliokuwa mkubwa. Muda wa siku 5 ulitumika kufanya uharibifu na uhalifu mkubwa hasa wa kifedha na hili mama analijua ila yupo chini ya “kiapo” flani na itamwia vigumu kuwawajibisha waliohusika na yote. Yote haya yalifanywa kwa kisingizio cha usalama wa Taifa. Mengi yatafichuka taratibu.Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
Tarehe umeiweka kiufundi sana. Ijapokuwa sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kuandika hapa.Tarehe 06/03/2021 Sauti nakabwa kooni ilisikika Mara kadhaa na shughuli yake pale Dodoma kwa wajeda ikasitishwa ilikuwa ifanyike tarehe 09 l.kwa Suala la Protocol ni kwamba kiomgozi akiondoka hawatangazi tu Ila kuna utaratibu, bahati mbaya TISS yetu hawezi thibiti taarifa nyeti Kama hii BADALA yake Taaruki zikiaza hadi PM akaanza kujikanyaga. Na hii ni baada ya kujaribu kukwepa kumpandisha pipa wampeleke kwa mabeberu, wakaomba ubalozi wa CHINA the direct flight to them nao wakakataa, na walishaanza kushangilia tokea tarehe 10/03/2021 Taarifa tulikuwa nazo (Ndo maana naangaliaga Kapuku wa Manzese eti alikubalika kwa wa China na China wakati ndege walitunyima’ kwa Kifupi watu walio ukanda fulan walishapewa na hints Kama atakubaliwa’ Kifupi kuna mengi ntashusha uzi one day kueleza why wasingetumia ndege yetu direct to china, also why China denied kutoa msaada wa ndege kwa afya yake
Britanicca
Ungejua Wewe usinge soma!! Hamtaki mawazo tofauti hapo unatamani uniuwe. Saii tuna mama anayemjua Mungu! Hajioneshi ibadani kila akienda lkn vitendo vyake nizaidi ya kujionesha ukipokea sakramenti huku nyuma ya pazia nivisasi na unyama!!!!
Makanisa yafundishe biblia vizuri kuna wajinga wanaleta zilevita zazamani sasa