Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Si unasema mungu wako alikusadia kuleta ukombozi bila kumwaga damu
 
Kwani mtu akiuliza swali ni kwa sababu hajaelewa tu?

Unaelewa Socratic method ni nini?

Sasa nani anafanya state capture, kwa ushahidi gani, na unatofautishaje regular corruption or even grand corruptio na state capture?

Nimekuuliza kwamba kashfa zilizopita za EPA, Lugumi, Chavda, zilikuwa corruptiin tu? Au state capture?

Hujajibu.
 
Naona nina safari ndefu kukuelimisha. Nafikiri fanya tafiti zako hasa nilichokiandika.
 
Acha niongeze kidogo tu. Mada yangu haikuhitaji arguments so as to engage in Socratic method. Ilikuwa ni informative kwa mtu mwenye uelewa.
 
Nimejibu. Je umesoma
 
Civil disobedience utaifanya kwenye internet tu. Kwa jamii ya Tanzania angalao kwa miaka 50 sioni kitu kama hicho kikitokea
Bora wewe umekuwa mkweli... it can take even longer than 50 years...
Ujinga hauishagi haraka!
 
Acha niongeze kidogo tu. Mada yangu haikuhitaji arguments so as to engage in Socratic method. Ilikuwa ni informative kwa mtu mwenye uelewa.
Wewe ni nani mpaka uamue mada inahitaji nini na haihitaji nini?

Cheo cha kuwa muamuzi wa hilo nani kakupa?
 
What specific individuals or corporations have led to your beliefs of so-called "state capture" ?
 
Naona nina safari ndefu kukuelimisha. Nafikiri fanya tafiti zako hasa nilichokiandika.
Kama wewe mwenyewe hujui unielimishe au uniachie nifanye tafiti mwenyewe, basi inaonekana wewe ndiye una safari ndefu kuliko mimi.

Kisaikolojia tunasema una "cognitive dissonance".

Kunielimisha unataka. Kuniacha nifanye utafiti unataka.

Kibaya zaidi hujui hata kuhalalisha hoja zako.

Unalazimisha tu kwamba una safari ndefu kunielimisha, hujaeleza kimantiki kwa nini.
 
Nimejaribu kuwa na consistance kujibu baadhi za comments za watu. Ila wewe ulikuwa unaleta sarcasm of which I'm not ready to engage!!
 
Wewe ni nani mpaka uamue mada inahitaji nini na haihitaji nini?

Cheo cha kuwa muamuzi wa hilo nani kakupa?
Nani kanipa ni immaterial.
Huemda wewe ni mmoja wao. Mbona hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…