Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

You are absolutely right. Basing on the trajectory of these appointments, it definetily leaves more questions than answers.
 
Sawa kama unaona viongozi wateuliwe na mtu mmoja ambae ukiwa na conflict interest naye huli teuzi kwa heri..
Ndo hapa tunapohitaji mabadiliko ya katiba. Wakishateuliwa baadaye jina linapelekwa bungeni ama chochote kitakachoundwa ili kumhoji mbele ua umma na kama anastahili basi jina hilo linarudi kwa Rais na rais anafanya uteuzi. Kama ni watatu wame tie ktk maks basi mkuu wa nchi ataona mwenyewe aliye na sifa zifaazo.
 
Head of State hawezi kufanya state capture.

Anaweza kufanya maamuzi vibaya, lakini hiyo si state capture.

Kusema Head of State kafanya state capture ni sawa na kusema mwenye nyumba kujiibia nyumba yake mwenyewe.

Mwenye nyumba anaweza kuiharibu nyumba yake, lakini hawezi kujiibia nyumba yake. Kwa sababu ni yake tayari.

Atajiibiaje nyumba yake?

Katiba inampa rais haki ya kuteua na kutengua mawaziri anavyotaka.

Rais katumia haki yake hiyo.

Sasa, Rais kutumia haki yake ya kikatiba ni state capture?
 
Mkuu ni kweli kabisa. SSH asipokuwa makini kukataa ushauri wa hovyo basi tunaweza kufia hapo kama Afrika Kusini. Vyombo vya USALAMA wa Taifa wa SA WALIKIRI wenyewe kuwa hata wao walikuwa wameingizwa mkenge na State Capture kiasi kwamba kile kilichotokea KIKAWAPITA. Wakaahidi ku dig ndani zaidi. Lazima kama Watanzania tugutuke bhana!
 
Muandishi wa sayansi wa kimarekani, Carl Sagan, alisema kwamba , extraordinary claims require extraordinary evidence.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya run of the mill nepotism na state capture.

Sasa, hii mnayoiita state capture, mna ushahidi gani kwamba ni state capture kweli na si run of the mill nepotism na garden variety fuckery ya kitanzania tu?
 
Fuata rais mstaafu Zuma alivyoongiza nchi yake ktk hilo mpaka Gupta family wakadiriki hata ndege za familia zao kutua ktk viwanja vya Jeshi. Gupta family wakapewa Makontract ya kunua Silaha kinyume na utaratibu. Zuma akachotewa zake akiwa Madarakani. Ila alipostaafu. Mashtaka ndo hayo. Sijui kama ametoka ndani.
 
Sasa haya Tanzania mbona yamefanyika tangu utawala wa Mwinyi wahindi wamepiga sana serikalini?

Utawala wa Mwinyi nao kulikuwa na state capture kwa kina Chavda?

Utawala wa Mkapa watu walivyopiga EPA ilikuwa state capture?

Utawala wa Kikwete watu walivyopiga kina Lugumi kwenye mikataba chupri ilikuwa state capture?

Utawala wa Magufuli watu walivyotumia fedha kufanya manunuzi nje ya bajeti bila uwazi ilikuwa state capture?

Unatofautishaje normal corruption/ nepotism na state capture?
 
Ni wakati Watanzania tutakapoondoa woga na kuwaambia the elites/Mabwana, enough is enough. Hapo ndo tutakuwa tumepona kama nchi.
Mbona mnataka kutengeneza taharuki isiyo na msingi??

Hila zenu zitashindw kama zilivyoshindwa hapo kabla.

Jana saa Saba ya usiku tukiwa mimi na jamaa flani tulikuwa tuliongea kuhusu Tanzania. Hili taifa ni kubwa na muhimu sana hapa Africa na duniani kwa ujumla. Litalindwa na hila za wabaya wa Tanzania hazitafanikiwa kamwe.
 
By the way nchi hii si ya kina Kikwete, Rizwan, SSH & Company ama mtu yeyote yule. This is our country we shoukd DEMAND ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY and FAIRNESS devoid of any patronage from ANY quarters!! Ama ni vipi mkuu?
Those things are demanded through ballot box. Last time I checked, CCM was authorised by the mass to do the best for Tanzania until 2025.
 
Ndo nasema kila kukicha watu wanaamka,watu wanafunguka macho. Nyerere aliweza kufanya yale wakati wake na hao uliowataja. Mambo yamebadilika.
 
Ndo nasema kila kukicha watu wanaamka,watu wanafunguka macho. Nyerere aliweza kufanya yale wakati wake na hao uliowataja. Mambo yamebadilika.
Hujajibu swali langu.

Hii ni normal corruption/ nepotism au state capture?

Mbona hujanipa unatofautishaje normal corruption/ nepotism na state capture?
 
Those things are demanded through ballot box. Last time I checked, CCM was authorised by the mass to do the best for Tanzania until 2025.
By the mass or you mean masses? . I do not suffer from Utopia Personality Disorder I know what I'm talking about. It is not about CCM or Chadema it is rather about NATIONAL INTEREST!!
Unless otherwise grasping my analogy is a problem
 
Tunataka amani. Ni Mtanzania mjinga tu atakaye Advocate fujo. Hata hivyo AMANI, HAKI, USAWA ndo ni nachosisitiza.
 
By the mass or you mean masses? . I do not suffer from Utopia Personality Disorder I know what I'm talking about. It is not about CCM or Chadema ot is rather about NATIONAL INTEREST!!
Unless otherwise grasping my analogy is a problem
Whatever you call it chief.

I know what I am talking about and I know what you are talking about. Whatever you are talking about is just not real.

For some years to come, it's only through CCM that NATIONAL INTERESTS can be attained.

So unless you want to argue for the sake of it, then hurrah!
 
Upo sahihi kabisa... Watanzania wanahisi taifa lao ni la MUNGU na miungu ... Kwamba wao jukumu lao ni kuishi; MUNGU na miungu watafanya mengine yote likiwemo na hili la kuwawekea mifumo imara jinsi ya kujitawala na kujiletea maendeleo wao wenyewe!
 
Tunataka amani. Ni Mtanzania mjinga tu atakaye Advocate fujo. Hata hivyo AMANI, HAKI, USAWA ndo ni nachosisitiza.
Fujo na ghasia (civil disobendience) hazitakiwi kama kuna HAKI, AMANI, MAENDELEO, UHURU, USAWA.
Tofauti na hapo hata MUNGU ataridhia fujo zitokee ili kuwakomboa watu wake!
 
Hata upinzani wanafanya State capture: Tundu Lissue alimkodi yule Job Amsterdam kwa shughuli zake binafsi na kwa manufaa yake binafsi wakati yeye yuko kwenye chama na chama kina katiba yake na muundo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…