Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Kwani wewe umezaa mtoto gani? Maana clinic tulikuwa tunahudhuria pamoja na wewe?
Ni kweli tulihudhuria wote clinic mke wangu amezaa mtoto wa kike......
vp ww na mimba yako kubwa umezaa mapacha nini!
 
Ni kweli tulihudhuria wote clinic mke wangu amezaa mtoto wa kike......
vp ww na mimba yako kubwa umezaa mapacha nini!
Wewe mwenyewe mwanamke, uliwezaje kuoa? Au nyinyi ndiyo wenye ndoa za jinsia moja?
 
Hata upinzani wanafanya State capture: Tundu Lissue alimkodi yule Job Amsterdam kwa shughuli zake binafsi na kwa manufaa yake binafsi wakati yeye yuko kwenye chama na chama kina katiba yake na muundo wake
Mkuu elewa kwanza Maana ya State Capture. Ukishajua swali kama hili huwezi kuliuliza tena. Pengine rudia kuisoma mada kwa Kiingereza na Tafsiri yake.
 
Private companies kwetu hayana nguvu, sema hyo state capture imefanywa na mzee wa msoga
 
Fujo na ghasia (civil disobendience) hazitakiwi kama kuna HAKI, AMANI, MAENDELEO, UHURU, USAWA.
Tofauti na hapo hata MUNGU ataridhia fujo zitokee ili kuwakomboa watu wake!
Kwa ujumla FUJO hazisaidii hata kidogo, maana huleta collateral damage mfano watu kuuwawa na pia uharibifu wa mali. Silaha kubwa ni kupaza sauti hadi walioko juu wasikie kwamba hili na hili tumekosea. Civil disobedience kwa Mwafrica hataelewa yeye atamaanisha ni vita dhidi ya Serikali of which hiyo si njia nzuri. However Diplomatic civil disobedience is acceptable/ inakubalika. Sijui kama nimekujibu vyema.
 
Mkuu Watanzania wapo wa aina tatu hivi kwa haraka haraka...
Wapo ambao si viongozi... hawa wengi ni watu wema sana... sema wapo wachache ni chawa!
Wapo viongozi... hawa wanajisahau sana... wengi hawapo realistic. Utasikia hawaongei wakati wa kula... wengi wanaweka akili, ujuzi na utu wao rehani!
Then wapo waliowahi kuwa viongozi... hawa wengi wao wanakuwa na busara kubwa sana... ukisikia maoni wakishauri mambo ya kufanyia maboresho utabaki unashangaa... wanaongea kwa ufasaha na wanaeleweka sana.

Sasa katika mazingira hayo kama kuna kitu kimahitajika ni "Civil disobedience" mfululizo na hata ikibidi machafuko na fujo...
Systems ovu za binadamu kuna wakati hazibadiliki zenyewe bila hizo collateral damages.
Hivi unafikiri US na wababe wengine wa dunia wanagekuwa hapo walipo bila fujo, ghasia na machafuko??

Vitha ni vitha murah... Kama viongozi hawatusikilizi wakiwa madarakani wasije kutusumbua na maoni lukuki wakishang'atuka!
...
 

Civil dosobedient Yes but machafuko hapana. Tuna nchi moja tu tulitopewa na Mungu na hatuna nchi nyingine. Civil dosobedient ambayo kwa Kiingereza inakuwa defined kama
  1. "the REFUSAL to comply with certain laws considered UNJUST as a PEACEFUL form of political protest.
 
Kama ajira za BOT kipindi kile uliuliza wanakwambia kwani hawana sifa ya kuajiriwa BOT?
Na sasa hivi ukiuliza watakwambia kwani hawana sifa za kuwa mawaziri?
 
Kama ajira za BOT kipindi kile uliuliza wanakwambia kwani hawana sifa ya kuajiriwa BOT?
Na sasa hivi ukiuliza watakwambia kwani hawana sifa za kuwa mawaziri?
 
Private companies kwetu hayana nguvu, sema hyo state capture imefanywa na mzee wa msoga
Si lazima awe mzee wa Msoga. Mkuu kuna watu wenye hela zao humu nchini walikuwa wakingoja kanafasi wapenyeze. Hao waki capture State anaweza hata kumtukana askari. Polisi wakati akifanya chochote. Na ukizidi kujifanya wewe uko kazini kesho unasikia umeshuswa cheo ama kufukuzwa. Maana ni Network ya Mabwana WATWANA hawana sauti . Akipiga simu Ikulu. askari anajikuta familia yake inateseka kwa sababu tu amemkamata kigogo. Hii ni hatari sana.
 
Private companies kwetu hayana nguvu, sema hyo state capture imefanywa na mzee wa msoga
By the way si PRIVATE company kama unavyofikiria wewe. Jaribu kuelewa undani wa Mada hii.
 
Rudia kusoma Mada yangu. Si rais ndo anayefanya hivy bali Private entities!
 
Checks & Balance (Responsible Entity if not Entities; Where Are They For That To Happen Just Incase !!??).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…