Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Checks & Balance (Responsible Entity if not Entities; Where Are They For That To Happen Just Incase !!??).
That is why shouting from the roof tops would make a difference and subsquent bring the desired checks and balances entities. Don't you think so?
 
Mkuu huwezi kuamua muendelezo kamili wa political protests. Tunasema tuanze na civil disobedience. Wenye mamlaka kwa asilimia kubwa ndo wanaamua madhara ya protests
Wakiendelea kuminya watu au wakija kinguvu na kimauaji lazima watu watajibu kivingine!!
 
Rudia kusoma Mada yangu. Si rais ndo anayefanya hivy bali Private entities!
Kwanza kabisa huja elezea state capture ni nini na corruption ya kawaida ni nini na tofauti yake ni nini.

Private entities zimefanya nini?

Hicho kilichofanywa na private entities kimeanza lini?

Unajuaje hizo habari za state capture si fantasies zako tu kukuza corruption ya kila administration kuiita state capture?
 
Civil disobedience utaifanya kwenye internet tu. Kwa jamii ya Tanzania angalao kwa miaka 50 sioni kitu kama hicho kikitokea
 
By the way nchi hii si ya kina Kikwete, Rizwan, SSH & Company ama mtu yeyote yule. This is our country we should DEMAND ACCOUNTABILITY TRANSPARENCY and FAIRNESS devoid of any patronage from ANY quarters!!
Basi tusiishie kujadili tu. Tuweke mikakati ni mpango kazi madhubuti wa kuwashughulikia hawa ^war-who-knee!^ They see you talking sense without corresponding actions, and they enjoy it.

Kuna watu BoT na Hazina hawajui hata jinsi mwananchi anavyohangaika kulima nyama na vitunguu huko mashambani. But wao wako busy kuyafanya maisha magumu na kutumbua pesa za walipa-kodi.

If we cannot do anything, then we are done!

#^Car-taaWar-who-knee!^
 
Civil disobedience utaifanya kwenye internet tu. Kwa jamii ya Tanzania angalao kwa miaka 50 sioni kitu kama hicho kikitokea
Ila don't be so pessimistic. Halafu, hakuna mtu anayetaka kufanya civil disobedience. Actually, this is logical and informed accountability inayotakiwa kwa kila raia anayeipenda nchi yake.

The internet will help us organize ourselves. Nchi zote zilizo-demand civil accountability kwa ufanisi (hivi kariibuni), mtandao ulichangia kwa kiasi kikubwa sana.
 
Tatizo lako unaangalia maandamano. Nani alikuambia maandamano ndo huleta mabadiliko?
Ninachozungumza hapa ni zaidi ya maandamano.
Hata maandamanoya amani bado ni haki ya kikatiba.
Anachojua ni kutisha tu. Dalili za mfa-maji huyo.
 
^If people don't learn from history, they are doomed to repeat it.^
 
Hizi ^PUA^ Mindset kazipeleke kule kwa Job Ndugai na kujiuzulu kwake! Hazina nafasi kwa sasa!
 
Mbowe kapiga kelele kaishia jela na hakuna anayekaa kujali yanayoendelea mnakuja na MB za mkopo kupiga lomoni tu
Kipi ni afadhali: Kukaa kimya au angalau kuwa na constructive conversation? And, who knows, kama this time round wamekusudia kufanya ^key-two^ expressive & tangible?
 
Watu wanahangaika sana. Hizi siasa zitawatesa tu. Mtakufa na stress. Chapeni kazi. Jengeni maisha yenu binafsi. Achaneni na hawa Watu.
Aiseeeee! Hivi kweli ^utajengaje maisha^ yako wakati Bi Mikopo anayabomoa?
 
M
Tuache kumsemasema sana Mama yetu, kwa theories za political science.
Raisi hawezi kuongoza nchi bila strategies, tumwache finally " the end justifies the means"
 
Umeambiwa katiba iliyopo sasa ndiyo inampa loopholes za kufanya ulanguzi wa nchi. Usichoelewa ni kipi? Au atumie Kichina?

Nimeelewa na hayo mapungufu ndio wanayotumia kufanya analotaka
Bado niko sawa maana hata hiyo iliyopo Ina mengi na hawayafuati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…