GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
The real genius often prefer to let their accomplishments and abilities speak for themselves,
With the genius ''Label'' being applied by others not by individual themselves.
Wewe lazima mabeberu wanakutamani unaongea kingereza kama mke wao😁😁
 
Chambuzi flani la Mchongo linachambua kwa mihemko kabla hata siku ya tareh 29 haijafika mchana, papara kama batamaji
 
We nguruw..e pori ile ni AI hakuna vandalism yoyote iliyofanyika... ni vipande kwenye movie ya Sobibo wameviunganisha..
Wewe bwege unahamasisha watoto wa wenzio tu wale mabwege waingie front, wewe kazi yako ni kuchungulia JF tu
 
The real genius often prefer to let their accomplishments and abilities speak for themselves,
With the genius ''Label'' being applied by others not by individual themselves.
 
Attachments

  • AQP7u9-YA87azKpFq9GbkztFIwndlbc-HehTzx_QYiXLA0uGuzWA5wmOKadhpd8QCn-l07HXv2DMeDk2h-5XiU4Le6e9nV...mp4
    847 KB
Bado kuchoma mali siyo suluhisho, kuna athari zake kiuchumi kama kupunguza bidhaa/ huduma, kuondoa ajira na kupoteza mapato in terms of kodi ambazo mabasi yalikuwa yanachangia
Huyu fisadi mwigulu uliyetaka mama ako amtumbue sasa hivi kapewa uwaziri mkuu.

Unaliongeleaje ili jambo?
 
Ni mali gani ya fisadi iliyochomwa? Mbona unatumia makalio kuchangia hoja?? Uki endorse ile vandalism then risasi zilikuwa halali yao
We Mjinga, kuna fisadi yoyote ambaye mali yake imeandikwa kwa majina yake? Tumia akili, watu sio wajinga kama wewe.
 
Huyu fisadi mwigulu uliyetaka mama ako amtumbue sasa hivi kapewa uwaziri mkuu.

Unaliongeleaje ili jambo?
Sielewi vigezo alivyotumia kumpa Uwaziri Mkuu, lakini kwa kuwa nje ya hazina yetu ni jambo bora
 
We Mjinga, kuna fisadi yoyote ambaye mali yake imeandikwa kwa majina yake? Tumia akili, watu sio wajinga kama wewe.
Wewe unatumia kigezo gani kuwa mali fulani ni ya mtu X?? Yaani mazungumzo ya vijiweni ndiyo mnatumia kufilisi mali za watu?

At most mngekwenda BRELA mkaangalia kwenye nyaraka kwanza.

Kwa mfano hiyo LAKE OIL vituo vingi ni mali za watu binafsi ila wanatumia trade mark na kuuza products za Lake Oil.

Naye mmiliki wa Lake Oil siyo Ridhiwani Kikwette kama mnavyoaminishwa bali ni Ally Elly Awadh
 
We Mjinga, unaishi zama zipi? Hao hao watu wa BRELA ndio wanaovujisha umiliki wa mali za mafisadi, nimekuambia watu sio wajinga kama wewe.
 
Mmiliki wa mabasi ya Esther ni nani?

Wewe ulitumia kigezo gani kusema mwigulu?
 
We Mjinga, unaishi zama zipi? Hao hao watu wa BRELA ndio wanaovujisha umiliki wa mali za mafisadi, nimekuambia watu sio wajinga kama wewe.
Wewe ni mpumbavu. Taarifa za BRELA hazihitaji kuvujishwa. Kisheria mtu yeyote ana haki ya ku search ownership ya kampuni yeyote iliyosajiliwa na BRELA alimradi alipie searching fee. Kwa sasa searching fee ni Tsh 60,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…