1. Joseph Didas Ngeleuya ambaye yuko kwenye card za ownerahip hana historia ya kuwa na fedhaMmiliki wa mabasi ya Esther ni nani?
Wewe ulitumia kigezo gani kusema mwigulu?
Kumbe waandamanaji walikuwa sahihi kuyapelekea moto.1. Joseph Didas Ngeleuya ambaye yuko kwenye card za ownerahip hana historia ya kuwa na fedha
2.Mkewe Lameck anaitwa Esther
3.Alipokufa mkwewe mabasi yalibeba waombolezaji free of charge kutoka Dar- Rombo- Dar
Hiyo ni anarchy ambayo kwenye civilised society haipaswi kuwapoKumbe waandamanaji walikuwa sahihi kuyapelekea moto.
Mabasi kayapta kwa njia za kfisadi kama ambavyo ubunge wake aliupata kwa njia za kihuni na kimafia.
UlisemaSiku haijaisha
Ila sijachochea maandamano pleas sitak kesi ya uhain 😆😆Ulisema
December 9 useme tena.Kwisha habari yao
Imekuaje kwani?Ni manyumbu kweli na sasa yameufyata
Kaburi limefukuliwa.Kumi tena kwa Samia
Uje uelezee vizuri. Umejificha wapi kabla ya March 2026?Mama mpaka 2035
Ongeza sauti.Na akitoka mama raisi tunamueka abdul wazanzibari hatutaki usnge
Za kazi kaka?Ila wabongo kwa mikwara hawajambo dada wa watu kaacha kufanya udaku ambao ulikuwa unamuingizia pesa nyingi kwa kupost habari za mastaa wakibongo na wasanii wengine amekosana nae kwa sababu tu ya hili vuguvugu la maandamano yaliandaa the end of the day kaangushwa na wabongo Wewe umeona wapi maandamano yanapangwa. Wale mabingwa wakuongea humu jukwaani mbona hatuoni clip zenu mkiandamana?
Humu tunawaambiaga sana CCM bado ni chama chenye nguvu bado hatujapata chama mbadala tishio huwa ninaonekana Kama Mimi ni CCM hiki chama kimewin nchi Kwanza ukiingia kwenye mpira wanazirun Simba na Yanga na viongozi wao, Wana wahold wasanii karibia wote wa Sanaa, ukienda kwenye majeshi na polisi Kuna wanachama wao, mahakama na kwenye watumishi wa umma vile vile wapo wengi mule na hata ukija kwenye mavyuo ndio usiseme ukienda uko vijijini ndio kabisa na ndio maana wakikwambia Wanawanachama zaidi ya mil 12 usione waongo kwa namna hii hiki chama kinatokaje madarakani?
Chama ambacho mnakitegemea cha upinzani Chadema huwa hakijui Nini kinafanya kinaenda bila muelekeo na shida ya hiki chama Wanaona CCM Kama kidogo in short wa underestimate badala wa kubali ukubwa wao ili ujue unaanzia wapi kukikabili lakini huoni hicho Wala strategy zozote alafu wanadanganya unabeba nchi
Hadi wewe?Ila wabongo kwa mikwara hawajambo dada wa watu kaacha kufanya udaku ambao ulikuwa unamuingizia pesa nyingi kwa kupost habari za mastaa wakibongo na wasanii wengine amekosana nae kwa sababu tu ya hili vuguvugu la maandamano yaliandaa the end of the day kaangushwa na wabongo Wewe umeona wapi maandamano yanapangwa. Wale mabingwa wakuongea humu jukwaani mbona hatuoni clip zenu mkiandamana?
Humu tunawaambiaga sana CCM bado ni chama chenye nguvu bado hatujapata chama mbadala tishio huwa ninaonekana Kama Mimi ni CCM hiki chama kimewin nchi Kwanza ukiingia kwenye mpira wanazirun Simba na Yanga na viongozi wao, Wana wahold wasanii karibia wote wa Sanaa, ukienda kwenye majeshi na polisi Kuna wanachama wao, mahakama na kwenye watumishi wa umma vile vile wapo wengi mule na hata ukija kwenye mavyuo ndio usiseme ukienda uko vijijini ndio kabisa na ndio maana wakikwambia Wanawanachama zaidi ya mil 12 usione waongo kwa namna hii hiki chama kinatokaje madarakani?
Chama ambacho mnakitegemea cha upinzani Chadema huwa hakijui Nini kinafanya kinaenda bila muelekeo na shida ya hiki chama Wanaona CCM Kama kidogo in short wa underestimate badala wa kubali ukubwa wao ili ujue unaanzia wapi kukikabili lakini huoni hicho Wala strategy zozote alafu wanadanganya unabeba nchi
Mwanetu unakabia kwa juu sana. 😅Fisadi Mwigulu ambaye hata wewe unamtambua kama fisadi na ulitka mama amtumbue.
View attachment 3504464
zitto junior
Kwahiyo wewe ulitaka mwigulu atumbuliwe kisha asichukuliwe hatua yoyote.Hiyo ni anarchy ambayo kwenye civilised society haipaswi kuwapo
Two wrongs don't make one rightKwahiyo wewe ulitaka mwigulu atumbuliwe kisha asichukuliwe hatua yoyote.
Hiyo civilized society unayoisema inaruhusu watu kuwa mafisadi?
Kama hairuhusu unaweza niambia fisadi anachukuliwa hatua gani hapa TZ?