Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Sijaridhika na hili jibu! Kulingana na swali la huyo jamaa, nimeelewa ila naona umelifupisha kiasi kwamba sijaelewa vizuri
 
Aaaa! Kwanini ili stick kwenye tukio tu!? Kwanini isinge chimbua mambo mengine kidogo!!? Kuna settings zake[emoji16]
 
Mkuu umeelezea vizuri sana. Mimi niliacha Ganja sababu hiyo sababu Bongo bangi unayovuta leo nintofauti na utakayovuta kesho, alafu hata pushers wa bongo wengi ni mbumbumbu na bangi, hawajui wanachouza ni nini. Saivi vijana wengi wanawehuka sababu wanavuta Ganja iliyochanganywa na Vumbi la Heroine wanadanganywa eti ndio Skanka kumbe wanaharibu Vichwa.
 
Clear
 
Mkuu naomba nitajie baadhi ya vitabu nivitafute niagize.
 
Maumivu kiasi gani mkuu!
 
Ila mtachangia japo maji,hasa wale wenye changamoto. maana hii ni elimu adhimu mnoo wakuu.nimeipata kwa gharama kubwa mnoo.
Kiasi gani! Mkuu! Natamani hii kichwa niisafishe ibaki plain kabisa! Password za vitu itabidi niandike kwenye memo, na majina ya watoto na gari, pikipiki nitajifunza upya! Nini kingine kinaweza futika!!? Kazi ninayo fanya nitaikumbuka kweli!? Achilia mbali njia ya kurudi nyumbani[emoji1787] joking!

Inagharimu sh ngapi
 
Ni story ndefu sana nikiweka hapa haitokua sawa maana itahamisha mjadala, nmekuchk PM, Kama itawezekana kuonana kubadilishana mawazo itapendeza zaidi.

Nlidhan nipo peke yangu kwenye hii forum ambae nimeexperience haya mambo lkn naona tupo wengi.
Umesha wahi tumia hiyo mushroom mkuu!!?
 
Discussion imekua ndefu, this motivates me to create an online yoga & meditation center. Sikutegemea kama simple question litazua mafundisho makubwa kiasi hiki
Unitag! Pia nilikua nawaza hivyo au uandae uzi utakao anza kufundisha begginer level yani A E I O U to A B C D _ Z to 1 to 10. Maana humu tunapata vitu vikubwa kubwa tu bila kujua mwanzo wake na hata ukitaka ujifunze hujui pa kuanzia
 
Mfano wa hizo takataka ni Repressed Emotions (Unprocessed Emotions),

Nisaidie mfano mmojawapo wa hiyo unprocessed emotions
 
Hili ni somo pana mkuu, linahitaji muda..

Nilisha ulizaga hilo swali [emoji115][emoji115][emoji115] nikapata michango miingi ila kwenye hii maada baada ya kupekua comment to comment nimepata mengi zaidi!
 
[emoji89] kuna siku niliyakanyaga, kuna wanayo ita bongo_shit na hiyo skanka zile sio bhangi ni sumu! Mara ya kwanza sikuelewa nilichukua nikaitumia usiku, inapanda haraka sana kuliko bhangi kawaida inakuzoazoa inakupeleka hukoo[emoji16] mpaka hapo sikuona shida kwa upande wangu, ila kuna jamaa yangu nilikua nae ilimchukua kiasi kwamba sikuwahi muona akiwa kwenye hali ile na alianza kuongea vitu ambavyo siku tegemea kama bichwa lake limeoza kiasi kile[emoji16] nikamuhimiza kulala aisikilizie akiwa kalala na asiongee apitilizie usingizini hukohuko, nilichofanya ni kufungulia redio nikaendelea kui'enjoy ikinipa mawazo haya na yale mpaka nilipo amua kulala, shida ni kesho yake haikua kama siku nyingine huko nyuma nilipotumia ganja ya kawaida, kwanza ilikua ina hang_over kali kama ya pombe, hakuna hamu ya kula wala kunywa maji na muda mwingi unakua kama ume hibanate tu na kujisikia kuchoka kupita maelezo, siku hiyo jioni sikugusa kabisa ili nione mwisho wake, kulala na kuamka kesho yake nikajikuta nipo sawa kabisa, nikatafuta ile ya kawaida nikaigusa, ikawa smooth as usual na hata kesho yake nika sawa kama kawaida[emoji846] siku iliyofuata nikachukua tena ile sumu[emoji16][emoji16] mdundo ulikua mperampera kama ule wa mwanzo ndipo nilipo baini sio ganja ya kawaida kuna kitu wamechanganya nikaamua kuachana nayo kabisa! Yule ndugu mbali na matokeo mabaya na kuto itathimini ile skanka anadai ilimvutia zaidi, akaendelea nayo[emoji17][emoji17] ndani ya mwezi mmoja alikonda, alafu lile swala lililo msumbua mara ya kwanza nikama lilikwama kichwani mwake mazima maana kila nikikutanae mbali na story nyingine tulizokua tunapiga lazima alikua anagusia kwa kutaka msaada wa majibu wa swala lile, na haswa lilikua linamsibu ni kifo cha wadogo zake wawili mapacha kugongwa na gari wote siku moja, na maswala ya kwao,[emoji17] tukio hilo tangu nimemfahamu lilitokea mda kidogo na kwa awamu hii tulikutana kazini akiwa katokea msibani ila alikaa sawa mpaka hiyo siku alipokutana na skanka ikawa kama msiba umeanza upya, akidai ameshajua kilicho pelekea kifo cha wadogo zake na kila akizoom anaona yeye ndio anafuatia[emoji55] basi kaendelea na huo mzigo wa skanka mpaka kufikia kufanya matukio kadhaa ya kufikirisha na lamwisho lilimpoteza tusijue alielekea wapi mpaka leo bila mawasiliano, hope atakua kwao salama!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…