Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Dah, mimi mkuu naogopa sana Bangi ya Dar na hizi zinazouzwa Mijini sababu nyingi wanachanganya na vitu vya ajabuajabu. Nikitaka kula ganja ni hadi nikienda kijijini. Hata marasta wengi wanaojifanya kuuza Bangi town wanauza Bangi hiyohiyo chafu. Vijana wengi wanawehuka
 
Kweli! Ilifika mahala nikaikaushia maana unachotegemea na unachoenda kupata ni tofauti! Kwa sasa natumia kwa nadra sana mpaka niwe na swala flani linalo nisukuma kitumia na inaweza kua kwa mwezi au miezi miwili ni mara moja na sio bongo_shit wala skanka naona bora yale majiti wanayokatakata na mbegu humohumo[emoji43][emoji1787][emoji1787]
 
kumbe bangi ina positive impacts
Bangi ni vile unavyo itumia au unavyotaka kuitumia, kuna mwingine akitumia anaweza kufanya kazi sana au kupita kiasi, lakini bangi hiyo hiyo akaivuta mtu mwingine hatoweza kufanya kazi utamkuta katulia kama mdoli wa dukani akiwaza anayo yajua mwenyewe[emoji1787][emoji1787], mwingine atakua mkorofi, mwingine atakua muongeaji, mwingine aangalie muvi au kusikiliza mziki, mwingine anawehuka kabisaa!
 
mkuu wew umewezaje kuitumia kwa manufaa na kwa kuidhibit
 
mkuu wew umewezaje kuitumia kwa manufaa na kwa kuidhibit
Kwa experience niliyonayo kwenye hiyo kitu sijui nianze kukuelezea wapi!

Kwanza kabisa: kama umesha toboa 25 na hujawahi tumia kilevi chochote, yani pombe, sigara na ganja, sikushauri uthibutu kuanza kutumia hivyo vitu kabisa wewe endelea kunywa juice za embe na machungwa na maji kwa wingi, hivyo vitu hapo juu usiviwaze kabisa.

Kwanini: mwili na akili yako hua havipokei effect zake kwa haraka, hua vinaenda vikijifunza taratibu hivyo ni ishu kuvi control mapema, hivyo mbali na kulewa baada ya kutumia wewe ndio unalewa kuzidi kutaka kuvitumia, utataka ujaribu kila linalowezekana ili uone matokeo yake na hapa ndipo watu tunapo poteana, wengine hua hawaridhiki na walivyotumia au walivyozoea tumia au walivyo kwisha tumia na kuendelea kujaribu vigeni zaidi kwao ndio hudondokea kwenye UNGA AKA NGADA na mpaka hapo biashara inakua imefika mwisho.

Hivyo mpaka kufikia kuvimudu hivyo vitu kwanza unatakiwa uwe na kichwa kizuri ( kwa neema ya Mungu na jinsi alivyo kuumba [emoji72] ) pia uweze kuhimili mihemko means uweze kuendesha akili zako sio kila amri inayotoka kichwani mwako uwe unaitekeleza, unapoona imetosha maana yake imetosha na sio " ngoja niongeze kidogo ", unapoona hiki hakiwezekani au ni hatari ukae kujiua ni hakiwezekani na ni hatari kweli sio " ngoja nijaribu nione "

Pia mwili na akili yako vikubaliane sio mwili hautaki alafu akili inakulazimisha au akili haitaki mwili unakulazimisha, ukisema unatumia maana yake unatumia na ukikataa maana yake usitumie kifupi vinahitaji nidhamu, ukiwa mfujaji navyo vitakufuja!

Bahati mbaya huwezi pata hiyo nidhamu mapema hua inachukua muda mpaka uvizoee ndio maana nikakwambia kama umetoboa 25 usivifikirie mf: ganja nimeitumia mfululizo ( matumizi ya kawaida ya kila siku asubuhi, sometimes mchana, na usiku na usiku ndio ilikua sherehe[emoji16]) kwa miaka kama 9 au kumi tangu gari limewaka form two[emoji2960]. Ndio nikaanza kubadili utaratibu wa matumizi na aina za matumizi lakini nilikua siwezi kufanya chochote kama sijapasha pia haikua rahisi ilini gharimu ila kwakua niliidhamiria akili na mwili vilikubali nika stop ghafla baada ya attempt kadhaa za kuacha kikawaida kushindikana ( kama kupunguza dose, kuruka siku moja moja na nyinginezo ), niliumwa hatari mpaka kulazwa hosp na hata nimetoka hosp hali haikua nzuri homa si homa, no kula no nini, ila shangaa dawa ikawa ni hiyo hiyo ganja tena, nimetoka hosp kufika home nikajichekecha nikaenda kuipuliza nilipona hapo hapo na ndio ikawa mwisho kuitumia mfululizo[emoji854] hivyo unapata picha ukiianza ulevi na 25 itakavyo kugharimu, huto pata muda wa ku turn_over

Kwa story hiyo fupi kulingana na swali lako, sio ganja pekee! Kilevi cha aina yoyote mpaka ukijue na kukidhibiti kinakuhutaji muda na lazima kikugharimu kwanza ndio uweze kuki control. Sijui nitakua nimekujibu!!?
 

Nataka kujifunza kuvuta bangi
 
nimekupata sana mtaalam
bangi naogopa kutokana na madhara ya moja kwa moja niliyoshuhudia kwa watu

vip kuhusu hii ya leo ,shrooms
tutajirbu au unasema mtaalam,?
 
nimekupata sana mtaalam
bangi naogopa kutokana na madhara ya moja kwa moja niliyoshuhudia kwa watu

vip kuhusu hii ya leo ,shrooms
tutajirbu au unasema mtaalam,?
Hii nikijaaliwa kuipata nitatumia kwa maana specification zake kwa maelezo ya hao wazee hapo juu ina meet na moja ya hitaji langu kuna swala ningetamani kulifahamu kwa kina japo nilishapata maelezo ya kutosha pia kupitia uzi huu kuna niliyo ongezea, nadhani nimebakiza kushuhudia tu[emoji2960][emoji16]
 
Hamjawahi kusikia stori za pori fulani ukipita unajikuta unazunguka ndani humo na kupoteza siku nzima halafu unajikuta umerudi mwanzoni ulipoanzia,
Ni kuwa humo kuna hizi mushroom, ambapo unajikutaa umezikanyaga zikatoa vumbi fulani likakungia wakati kwa jinsi unavuta pumzi kawaida na kupanda kichwani.
 
Nimewahi sikia story kama hii! Nini kinatokea mpaka huoni pakutokea!!?
 
Hapa hapa tz matajiri kibao wana moka, sio wasanii sio viongozi ni suti na maV8 ndio zina waficha
em nipe elimu mkuu
hii kitu inafaida zipi ambazo zimeleta mafanikio kwako binafsi ukilinganisha na hao matajiri uliotaja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…