kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
-
- #81
Half education ni mbaya sana, soma full khs hii kitu then urudi kusoma comment yako tenaWanadamu buana...
Yaani mtu anakula au anakunywa kitu ili a paralyse mfumo wake wa fahamu...
Hii sana sana utaikuta kwa jamii zinazofanya deep medittaion kama wabudhaIsije kuwa zinatokea Colombia au Jamaica 🤔
Sasa kuna watu wanasema inaparalyse mwili, labda walikula ile poisonous, shrooms zenyewe zinakufanya uone maono zaidi ukiwa kwenye hio trip baada ya kuingestKama haujaelewa how it works katazame vikings valhala season 2 kuna scene jamaa anaenda kuinhale ili kuconnect na deads na past
Exactly.Huitwa Psychedelic Drugs..
Hutumika kuua Ego (Our false Identity) ambayo umeitengeneza kupitia mind since ukiwa mdogo mpaka hapo ulipo...na inakuonyesha the real you..
Jukumu lako ni ku handle hyo path ambayo ni ngumu mnoo huitwa THE DARK NIGHT OF THE SOUL. ukimaliza hyo safari unakuwa mpya kabisa mwenye Consciousness ya hali ya juu mnoo..
I wanted to know about weed, kumbe pia mushroom nayo inavutwa kama weed.Weed cha mtoto kwa shrooms
Mushroom unaweza vuta au kutafunaI wanted to know about weed, kumbe pia mushroom nayo inavutwa kama weed.
Wewe ni malaika wa kifo alafu hujui hii kitu?
ExactlyKiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.
Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Hii mushroom ni kilevi?? Na je ina stimu....I wanted to know about weed, kumbe pia mushroom nayo inavutwa kama weed.
Huwa nafikiri hata hawa vijana waliongia kwenye wimbi la ushoga wakipatiwa hii kama tiba inaweza kuwasaidia, sababu mara nyingi hayo mambo ni shida inayoanzia kwenye polluted brain au mind. Una kuta mtu hana physical characters zzt za kuwa shoga lkn kuna mambo alipitia/kufanyiwa udogoni ndo yakamfanya aweke akili yake huko. Naamini hii ikifanyiwa utafiti itaweza kusaidia sana pande hizoKiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.
Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Hii sio kilevi, na wala sio ushirikina bali ina nguvu fln za kiroho.Hii mushroom ni kilevi?? Na je ina stimu....
Je ina advantage gani? Kwa ishu za shiriki....
Faida yake ni nini mkuu ili tuisake.....
Kwahiyo haiwezi kuwa imetoka huko sio.🤔Hii sana sana utaikuta kwa jamii zinazofanya deep medittaion kama wabudha
Ibilisi alimwambia EvaHuitwa Psychedelic Drugs..
Hutumika kuua Ego (Our false Identity) ambayo umeitengeneza kupitia mind since ukiwa mdogo mpaka hapo ulipo...na inakuonyesha the real you..
Jukumu lako ni ku handle hyo path ambayo ni ngumu mnoo huitwa THE DARK NIGHT OF THE SOUL. ukimaliza hyo safari unakuwa mpya kabisa mwenye Consciousness ya hali ya juu mnoo..
Sawa..........ushirikina na nguvu za giza hakuna tofauti sana lakini sio vitu sawa.Hii sio kilevi, na wala sio ushirikina bali ina nguvu fln za kiroho.
Ni somo refu, kutoa hapa nusu nusu inaweza misguide watu. Siku ntaelezea full kwenye uzi mwingine kuhusu hii kitu pamoja na major application yake ambayo inaitwa 'tripping'
Ndo maana pia lazima uwe na guide pamoja na maandalizi, watu wanaotumia hovyo ndo wanaishia kupata hizo side effects.Ndiyo maana ni hatari sana kula haya makitu. Kwa sababu ukisharudi kwenye normal state unataka immediately urudi kule maana state yako original unaiona kama utupu(emptiness), unakuwa unastrive kutumia tena na tena
ExactlyHizo mushrooms zinaitwa 'psiloccibin mushrooms".
Zinakua na psychedelic effect na ndo hyo inaitwa trip a.k.a safari.
Zinaweza kua consumed kwa kutafuna au kwa kuchanganya na maji ya moto kama chai.
Wengi wanasema unaeza kudata lakini hii ni kutokana na kutoelewa how to use them.
Hizi shrooms lazma uwe guided kama hujawahi kutumia. And here is the reason.
Kwanza lazma uanze na a small dose.
Pili, the guidance ni kwamba, unapotumia inafungua deep feelings ambazo kama hujaweza kucontrol unaeza jikuta u r dealing with bad feelings ambayo it leads to a bad trip.
So kwenye guidance, kwa mfano mtu anaeza kua guided kujaribu kuona future yake, so it takes ypur subconscious to another level and you can see vitu ambavyo kwenye normal senses huezi kuona.
Jamii nyingi za ndani ndani kama red indians na wale watu wanaoishi kwenye misitu ya amazon hua wanaitumia sana kama a form of deep meditation.
Hivyo bas, kama haujui vzur how to use them itakufanya uone mauza uza tu. N kama bangi, kama mtu hajui kuitumia vzur anaeza kuishia either kubembea au kupata mawenge ya kisoro, lakini kwa mtu anaejua misingi yake it can be used as a source of focus, au source of pleasure n.k.
Problem kubwa kwa nchi yetu n kwamba most times hatupati vitu standard so effect inakua haieleweki. Example bangi inayouzwa hovyo hovyo unaeza kuta leo umevuta sativa, kesho umevuta indica kwaio the effect inakua different. Mbaya zaidi ukivuta iliochanganywa na plama ndo kabisaa unajikuta umeanza kuwa mjate.
Lakini watu wanaovuta high grade wanapata a specific breed kwaio anapata the same effect everyday na inasaidia sana.