Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Huitwa Psychedelic Drugs..
Hutumika kuua Ego (Our false Identity) ambayo umeitengeneza kupitia mind since ukiwa mdogo mpaka hapo ulipo...na inakuonyesha the real you..

Jukumu lako ni ku handle hyo path ambayo ni ngumu mnoo huitwa THE DARK NIGHT OF THE SOUL. ukimaliza hyo safari unakuwa mpya kabisa mwenye Consciousness ya hali ya juu mnoo..
 
Exactly.

Inaboost sana self-awareness na nmesema hilo hapo juu lkn kuna watu humu wanaita uchawi mara ushetani, daaah
 
Kiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.

Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Huwa nafikiri hata hawa vijana waliongia kwenye wimbi la ushoga wakipatiwa hii kama tiba inaweza kuwasaidia, sababu mara nyingi hayo mambo ni shida inayoanzia kwenye polluted brain au mind. Una kuta mtu hana physical characters zzt za kuwa shoga lkn kuna mambo alipitia/kufanyiwa udogoni ndo yakamfanya aweke akili yake huko. Naamini hii ikifanyiwa utafiti itaweza kusaidia sana pande hizo

Ukiangalia Psychedelic drugs nyingi pia hutumiwa kutibu addictions au traumas mtu alizopitia, ila hii shrooms ina spiritual powers ukiachana na kuwa Psychedelic drug kama zilivyo LSD etc...
 
Hii mushroom ni kilevi?? Na je ina stimu....
Je ina advantage gani? Kwa ishu za shiriki....

Faida yake ni nini mkuu ili tuisake.....
Hii sio kilevi, na wala sio ushirikina bali ina nguvu fln za kiroho.

Ni somo refu, kutoa hapa nusu nusu inaweza misguide watu. Siku ntaelezea full kwenye uzi mwingine kuhusu hii kitu pamoja na major application yake ambayo inaitwa 'tripping'
 
Huitwa Psychedelic Drugs..
Hutumika kuua Ego (Our false Identity) ambayo umeitengeneza kupitia mind since ukiwa mdogo mpaka hapo ulipo...na inakuonyesha the real you..

Jukumu lako ni ku handle hyo path ambayo ni ngumu mnoo huitwa THE DARK NIGHT OF THE SOUL. ukimaliza hyo safari unakuwa mpya kabisa mwenye Consciousness ya hali ya juu mnoo..
Ibilisi alimwambia Eva
Kula hili tunda
1. Utakuwa kama malaika
2. Utajua mengi

Huenda lile tunda lilikuwa na effects kama hizi za shrooms. Liliwapeleka ktk higher dimensions za consciousness mpaka wakajua mengi.

Ndiyo maana ni hatari sana kula haya makitu. Kwa sababu ukisharudi kwenye normal state unataka immediately urudi kule maana state yako original unaiona kama utupu(emptiness), unakuwa unastrive kutumia tena na tena.

Higher consciousness unaweza kuifikia kwa rehema za Mungu kama ukimtumainia kwa dhati na kujihumble before him completely na kujaribu kuishi maisha clean( mkweli, msaidia viumbe, kutafuta vya halali, kumkumbuka Mwenyezi Mungu etc)
 
Hii sio kilevi, na wala sio ushirikina bali ina nguvu fln za kiroho.

Ni somo refu, kutoa hapa nusu nusu inaweza misguide watu. Siku ntaelezea full kwenye uzi mwingine kuhusu hii kitu pamoja na major application yake ambayo inaitwa 'tripping'
Sawa..........ushirikina na nguvu za giza hakuna tofauti sana lakini sio vitu sawa.
 
Ndiyo maana ni hatari sana kula haya makitu. Kwa sababu ukisharudi kwenye normal state unataka immediately urudi kule maana state yako original unaiona kama utupu(emptiness), unakuwa unastrive kutumia tena na tena
Ndo maana pia lazima uwe na guide pamoja na maandalizi, watu wanaotumia hovyo ndo wanaishia kupata hizo side effects.

Halafu huwa inafanyika mara moja tu au mbili kila mwaka kwa wanaoitumia kiumakini. Tripping ni ibada na ina maandalizi na procedures zake
 
Hizo mushrooms zinaitwa 'psiloccibin mushrooms".
Zinakua na psychedelic effect na ndo hyo inaitwa trip a.k.a safari.
Zinaweza kua consumed kwa kutafuna au kwa kuchanganya na maji ya moto kama chai.
Wengi wanasema unaeza kudata lakini hii ni kutokana na kutoelewa how to use them.
Hizi shrooms lazma uwe guided kama hujawahi kutumia. And here is the reason.
Kwanza lazma uanze na a small dose.
Pili, the guidance ni kwamba, unapotumia inafungua deep feelings ambazo kama hujaweza kucontrol unaeza jikuta u r dealing with bad feelings ambayo it leads to a bad trip.
So kwenye guidance, kwa mfano mtu anaeza kua guided kujaribu kuona future yake, so it takes ypur subconscious to another level and you can see vitu ambavyo kwenye normal senses huezi kuona.
Jamii nyingi za ndani ndani kama red indians na wale watu wanaoishi kwenye misitu ya amazon hua wanaitumia sana kama a form of deep meditation.
Hivyo bas, kama haujui vzur how to use them itakufanya uone mauza uza tu. N kama bangi, kama mtu hajui kuitumia vzur anaeza kuishia either kubembea au kupata mawenge ya kisoro, lakini kwa mtu anaejua misingi yake it can be used as a source of focus, au source of pleasure n.k.
Problem kubwa kwa nchi yetu n kwamba most times hatupati vitu standard so effect inakua haieleweki. Example bangi inayouzwa hovyo hovyo unaeza kuta leo umevuta sativa, kesho umevuta indica kwaio the effect inakua different. Mbaya zaidi ukivuta iliochanganywa na plama ndo kabisaa unajikuta umeanza kuwa mjate.
Lakini watu wanaovuta high grade wanapata a specific breed kwaio anapata the same effect everyday na inasaidia sana.
 
Exactly
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom