Hapana. Ntakupa jibu refu ambalo nataman ningempa huyo father
Mie ni Taoist lkn bado ni mkatoliki.
Taoism ni way of life lkn sio religion na haipo kwenye dimension moja na dini, ipo juu sana ya hapo sababu inaweza kukufanya u-tap directly into spirituality bila kuwa na gateway zilizozoeleka ambazo ndio hizi dini.
Why bado ni mkatoliki? Sababu religion by one way or another is just a culture, na nmezaliwa kwenye hio culture na kama haiko negative to Tao basi naendelea nayo hadi labda siku iwe negative to Tao.
Kwenye Taoism tunaamini kwenye cultivation, lazima kucultivate virtues na kufuata the Tao, lakini hayo yote huwezi kufanya bila kuwa na CALM MIND. Mind ikiwa calm ndipo utaweza toa vitu vibaya na kuingiza vitu vzr, ndipo utaweza kuona vitu in a very clear way. Chukulia maji yenye matope (muddy water) yale maji yakisettle ndipo utaona clearly matope yako wapi na maji yako wapi, same as human mind too.
Sasa huko kucalm mind na kujialign na nature kuna practice inabidi ufanye ndipo ufikie hizo states, na hapo ndipo tunafikia kwenye MEDITATION na YOGA.
Kuna affirmations pia nazo hufanyika sambamba na meditation.
Haya hadi hapo nielekeze huo uchawi unatokana na nini?
Hao hao wanaoita meditation uchawi nao wanafanya meditation bila kujijua.
Na pia ukisoma Tao Te Ching utakuja kuona dini zote za kweli zimechukua summary mule.
Kuna mtu aliwahi kusema kwamba ukianza kupractise sheria au virtues unazofundishwa na dini yako mfano ukarimu etc.... ndipo utakuja kuona All roads lead to taoism.
Ni kwamba tu hawa ma-father hawataki kuwa challenged na ukweli na wanataka waendelee kutegemewa. Sasa kwa kuwa wanajua mtu ambae ni anaweza cultivate virtues mwenyewe na kuharness nguvu ya nature hatowahitaji tena service yao ndipo wanaipinga kwa nguvu zote wakiogopa kupoteza waumini, lkn haya mambo the more una-advance ndipo unajua ukweli wa mambo, you just taste the vinegar, smile, and let it go.