Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Alfu uzuri umesema ukichezaa tu unaweze kuwa chizi automatically

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Exactly mkuu,ndo maana unahitaji elimu kwanza kabla hujaanza..
Issue ni kwamba Ego ni false Identity ambayo ume create within your mind,,kazi yake ni kukulinda na kazi yake kubwa ni kukuongoza how you relate,how you think,how you behave,hucontrol emotions zako n.k

Imagine hyo Ego automatically imeuawa na Hizo Drug,,means inaanguka.

Then your HIGHEST POWER ambayo ni CONSCIOUSNESS has to take power..😅😅 ambayo ipo always but it was domant not active but baada ya Ego death it has to take full responsibility.

You see ilivyo interested,yaan mfano ulikuwa na kijana wako wa kazi,akajitambulisha yeye ndo boss na ameact kama baba wa nyumba since ulivyo zaliwa mpaka leo una umri huo... Then ghafla kauawa...who will take the power?

Hii ni elimu pana sana, inahitaji muda kuielewa
 
Hello bosses...

Mada za kikubwa watoto wakiwa wamelala

Kuna mzigo unaiitwa magic mushrooms au tuziite shrooms, zinatumiwa kwa mambo ya kiroho na kujiliwaza pia. Ni kama weed kwa baadhi ya watu.

Kwa wale wanaofanya deep meditation pia baadhi wanazitumia kufanya tripping(huko unaweza kutana na wewe mwenyewe, au ukaona vitu fln vya kushangaza ulivopitia anyway sio story ya leo hii).

Je hapa Tanzania zinaruhusiwa? Na zinapatikana wapi kama zinaruhusiwa?
Picha hata ya Biblia basi
 
Maelezo ya haraka.
Jinsi dawa inavyofanya kazi hutofautiana kati ya mtu na mtu, Jinsi unavyoweza kujisikia Kwa kucheka, msisimko, kuchanganyikiwa na/au mshangao, wasiwasi, kuzidiwa.

kuhusu jinsi inavyohisi Madhara kwenye mwili wako Kichefuchefu/kutapika, upotovu wa sauti na maono - maono na 'kujikwaa'.

kuhusu jinsi inavyohisi, Inachukua muda gani kufanya kazi, Inaweza kuchukua zaidi ya dakika 30 kufanya kazi kwa hivyo subiri kabla ya kuchukua dozi nyingine.

kuhusu inachukua muda gani kufanya kazi
Athari hudumu kwa muda gani Athari inaweza kudumu hadi masaa 5.

kuhusu muda gani athari hudumu, Hatari za kawaida, Kula uyoga wenye sumu kwa makosa ni hatari kubwa ikiwa hujui unachokula.

Ikiwa unahisi huna furaha au uko pamoja na watu usiowaamini, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na wakati mbaya.

kuhusu hatari, Kuchanganya Madawa na kilevi, daima ni hatari lakini baadhi ya mchanganyiko ni hatari zaidi kuliko mwingine.

B18AD091-5222-4A54-9288-83591919B3B4.jpeg

F521CE20-190D-4DFA-826B-AE58C97BF441.jpeg
 
Exactly mkuu,ndo maana unahitaji elimu kwanza kabla hujaanza..
Issue ni kwamba Ego ni false Identity ambayo ume create within your mind,,kazi yake ni kukulinda na kazi yake kubwa ni kukuongoza how you relate,how you think,how you behave,hucontrol emotions zako n.k

Imagine hyo Ego automatically imeuawa na Hizo Drug,,means inaanguka.

Then your HIGHEST POWER ambayo ni CONSCIOUSNESS has to take power..😅😅 ambayo ipo always but it was domant not active but baada ya Ego death it has to take full responsibility.

You see ilivyo interested,yaan mfano ulikuwa na kijana wako wa kazi,akajitambulisha yeye ndo boss na ameact kama baba wa nyumba since ulivyo zaliwa mpaka leo una umri huo... Then ghafla kauawa...who will take the power?

Hii ni elimu pana sana, inahitaji muda kuielewa
Em jazia jazia nyama mkuu una madini

Nataka kujiboost zaidi
 
Hakika mkuu,hii ni elimu Adhimu sana..ni elimu ghali mnoo. Imagine sasa hivi mtu ana depression,anaenda hospital hapati msaada wowote wa kisakolojia..unaambiwa very simple tu kwamba punguza mawazo..

Na utapewa madawa ukatumie,unakuta mtu anatumia Antidepressants for life... wakati angepata hii elimu na akapractice angerud normal kabisa
Exactly
 
Hapana. Ntakupa jibu refu ambalo nataman ningempa huyo father

Mie ni Taoist lkn bado ni mkatoliki.

Taoism ni way of life lkn sio religion na haipo kwenye dimension moja na dini, ipo juu sana ya hapo sababu inaweza kukufanya u-tap directly into spirituality bila kuwa na gateway zilizozoeleka ambazo ndio hizi dini.

Why bado ni mkatoliki? Sababu religion by one way or another is just a culture, na nmezaliwa kwenye hio culture na kama haiko negative to Tao basi naendelea nayo hadi labda siku iwe negative to Tao.

Kwenye Taoism tunaamini kwenye cultivation, lazima kucultivate virtues na kufuata the Tao, lakini hayo yote huwezi kufanya bila kuwa na CALM MIND. Mind ikiwa calm ndipo utaweza toa vitu vibaya na kuingiza vitu vzr, ndipo utaweza kuona vitu in a very clear way. Chukulia maji yenye matope (muddy water) yale maji yakisettle ndipo utaona clearly matope yako wapi na maji yako wapi, same as human mind too.

Sasa huko kucalm mind na kujialign na nature kuna practice inabidi ufanye ndipo ufikie hizo states, na hapo ndipo tunafikia kwenye MEDITATION na YOGA.

Kuna affirmations pia nazo hufanyika sambamba na meditation.

Haya hadi hapo nielekeze huo uchawi unatokana na nini?

Hao hao wanaoita meditation uchawi nao wanafanya meditation bila kujijua.

Na pia ukisoma Tao Te Ching utakuja kuona dini zote za kweli zimechukua summary mule.

Kuna mtu aliwahi kusema kwamba ukianza kupractise sheria au virtues unazofundishwa na dini yako mfano ukarimu etc.... ndipo utakuja kuona All roads lead to taoism.

Ni kwamba tu hawa ma-father hawataki kuwa challenged na ukweli na wanataka waendelee kutegemewa. Sasa kwa kuwa wanajua mtu ambae ni anaweza cultivate virtues mwenyewe na kuharness nguvu ya nature hatowahitaji tena service yao ndipo wanaipinga kwa nguvu zote wakiogopa kupoteza waumini, lkn haya mambo the more una-advance ndipo unajua ukweli wa mambo, you just taste the vinegar, smile, and let it go.
Kabisa mkuu,ukielewa hili jambo na ukaliishi na na uka empty takataka zote za kwenye SUBCONSCIOUS MIND..unakuwa mwenye huruma na matendo mema kwa wengine Automatically..means unarud kule kule kwenye Dini..ambako wao wanalazimisha tu watu watende matendo mema bila kujua wana garbage nyingi kwenye mind zao ambazo wanatakiwa wazi release kwanza
 
Asante. Thats what I can say.

Na ndo maana I'll forever embrace the Tao sababu dini zote zinapoint hapo at the same time inanipa advantage kuwa calm, nikiwa calm naweza hata jifunza vitu complicated on my own, nikaboost uwezo wangu wa kazi etc.....

Dini zinahubiri lkn zina-assume kila mtu ni msafi, watue kwanza watu mizigo ndipo uwafundishe namna ya kutembea wima
 
Asante. Thats more I can say.

Kuna huyu mchungaji yuko poa mnoo..anazungumzia pia hayo mambo
 
Karibu mkuu..mimi nilisuffer anxiety na depression kwa miaka miwili...nilitumia madawa kuanzia Lorazepam,Fluoxetine n.k ,tumia sana chumvi kuogea 😅 hakuna kilicho nisadia..ndipo nkapata hii elimu kwa namna ya ajabu mnoo,na nkaanza kupractice...

Hayo madepression yamekuwa ni historia kwangu sasa..

Hakuna battle ngumu kama ya Mind wakuu 😅
Thank you for sharing your experience mkuu, wengi wanapitia haya binafsi naomba nikuone kwa a,b,c..
 
Inabidi ujue kwanza pure nature of the mind ni nini..then kuna vile unnecessary (Negative) vitu unavi kuza since mdogo mpaka hapo.vinapaswa kuondoka.

Baadhi ya vitu, Aibu,hofu,hasira, anxiety, depressions n.k.

Vipo vingi mnoo,na ni somo refu.

nature of of the mind ni Pure Consciousness.
Inaonekana ni hatari kwa matumizi,hii inapaswa ifanyiwe utafiti kwanza na serikali iweke utaratibu maalumu wa namna ya kutumia kimatibabu kwa sababu madhara yake ikitumika kimakosa ni makubwa kiafya na kiakili ndio maana serikali nyingi hazijaruhusu itumike
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom