Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

Labda anaamini kundi jipya lina nguvu kuliko kundi lililomweka Madarakani

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hahaha...tuliwaambia humu mtu yeyote ataesimama na JPM anaukwaa uRais asubuhi sana, wapumliwa visogoni bado mnaamini JPM aliiba kura...pathetic
Yeye hakuiba kura, alivuka hatua za kuiba kura, yeye alipora mchakato mzima wa uchaguzi, na Wala hilo sio jambo la kificho.
 
Hahaha...tuliwaambia humu mtu yeyote ataesimama na JPM anaukwaa uRais asubuhi sana, wapumliwa visogoni bado mnaamini JPM aliiba kura...pathetic
Wanaelewa sana, wanajitoa akili makusudi.
 
Huu ni mwanzo wa "UTUNGU" kuna jambo Mungu anataka kulitendea taifa la Tanzania.
 
Wewe maisha yako ni kulalama na ujuaji mwingi,huu ni ugonjwa mbaya sana.


Imani yangu kizazi chako kina hasara sana hapa duniani
 
Dawa inakolea tarrrrratibu, mtaelewa tu 😆 😆
 
Mbinu inayotumika siyo nzuri. Kwasabb kama lengo ni kuyaua makundi basi kuzodoana na kukashifiana kulipaswa kuepukwa.

Anachokifanya Makonda ni kuibomoq ule upande wa Samia gang na kuutukuza upande wa sukuma gang.
Unaumia ukiwa wapi mwenzangu? 😀 😀 😀
 
Ccm wanacheza na akili ya watanzania walio wajinga.Na ndio maana wanaua elimu yetu ili wajipatie mtaji wa wajinga wawatawale milele na milele .Hii ya makonda na kina Biteko wanataka wateke kura za Kanda ya ziwa baada ya umaarufu wao kushuka.
 
You don't need to use a pair of binoculars to see mipasuko iliyopo ndani ya CCM,wala hatuhitaji kuaminishwa kwamba magenge hayapo wakati yanaonekana.
 
Binafsis

Binafsi CCM ilianza kunitoka moyoni baada ya kifo Cha magufuli na yale matamshi ya Nape kuwa CCM inawenyewe.
Sisi wakongwe ccm ilitutoka mwaka 1991 baada y kashfa ya loliondo, wizi wa dhahabu wa mama siti mwinyi, kashfa ya chavda nk.
 
Watu ambao hawakujua kucheza na siasa ni CDM kwa kushindwa kutembelea nyota ya Magufuli mapema wakati CCM wakimsodoa na CDM kumbaghaza Magufuli baada ya kufariki na kumwita mwendazake,wamepishana na kura nyingi. CCM anajua kusoma upepo wamemchukua Makonda ili aifufue nyota ya Magufuli kwa CCM kwa vile ni mtu sahihi kumtumia. In fact kwa nchi nzima wacha CDM waendelee na siasa za kuonewa huruma. Jazitawalipa muda eipta. No longer valid.
 
Kwa hiyo yeye ndiye aliyemparapanda rondo?
 
Yashikilie mwenyewe mamlaka hayo, usiwasambazie wengine, ambao na wao wanayo ya kwao.
Nitasambaza ukweli siku zote kwa mamlaka niliyokuwa nayo! Tafadhali, koma,na Usinipangie, namna, jinsi, wakati au sehemu ya kufanya hivyo.

hatahivyo...sijamshika mtu "mwingine' yeyote mwenye kusambaza "Ukweli" na nitaendelea kukemea wote wenye kusambaza Uwongo wa aina yeyote ule.

Amani ikutawale.
 
Magufuli anapaswa kutukwanwa, Wala siyo kukejeliwa tu. Alikuwa mwendawazimu, mshamba na dikteta.

Chama cha Zitto hakikumkejeli jiwe? Aliyesema Magufuli ni mashamba na limbukeni siyo Zitto??
Lile halikuwa jendawazimu tu, bali ni shetani halisi
 
hatahivyo...sijamshika mtu "mwingine' yeyote mwenye kusambaza "Ukweli" na nitaendelea kukemea wote wenye kusambaza Uwongo wa aina yeyote ule.
Kwa nini wa kwako uwe ukweli, na ya wengine yawe uongo!
Tahadhari: usitumie tena maneno kama hayo ya 'ukome' kunijibu mimi ukitaka twende kwa staha humu.
 
Sukari imepanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…